OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
Serukamba chapa mzigo,acha mazombi walonge ,keep it up..msikilize edward kwa masikio yote,believe me and believe him,cheers.
Hii nchi haitaangukia mikonono mwa wakala wa nchi za Magharibi, Lowassa amezungukwa na madalali wa rasilimali za Watanganyika kama vile Nimrod Mkono,Andrew Chenge na Rostam Aziz. Wazalendo wa taifa hili tutasimama imara kuhakikisha hii nchi haiwi koloni la nchi yoyote ile,hili ni taifa huru na litaendelea kuwa hivyo.Madalali na wapiga dili hamna nafasi katika utawala wa awamu ya tano.Nimewasoma wote,sibishani nanyi kwani hatutaona tofauti yangu na yenu,mimi nawahakikishia,.mh lowassa ndiye rais ajaye,kwa vigezo hakuna wa kumkamata,.kumbuka tunamzungumzia mkiti ccm taifa,hakuna zaidi ya broh edward.get it from me,lowassa is the next head of state.bravo
kama humpendi ni ww mwenyewe... niko hapa nairobi moi Avenual kila kona nasikia wakisema kule tz next prezidaa ni Lowassaaaa
kama humpendi ni ww mwenyewe... niko hapa nairobi moi Avenual kila kona nasikia wakisema kule tz next prezidaa ni Lowassaaaa
Jamaa ameanza kushtuka kwa upinzani mkubwa atakaopata Serukamba kwa michezo watatu hao wanayocheza. ZZK, Serukamba na EL. Mtakuja kuyaona haya maana anaogopa tu kusema hata ZZK ni mwanakamati na walishakaa wakakubaliana na ZZK kuhusu mchezo huo mchafu. Hapa napata wasiwasi kuamini watu wa Kigoma zaidi kwa usaliti
Naona ukuu wa Mkoa unamnyemelea kama jamaa kiwa Rais
Huyu anamuharibia tu mwenzake. Maana ye atakosa na huyo mwenzake nae atamkosesha
Jamaa ameanza kushtuka kwa upinzani mkubwa atakaopata Serukamba kwa michezo watatu hao wanayocheza. ZZK, Serukamba na EL. Mtakuja kuyaona haya maana anaogopa tu kusema hata ZZK ni mwanakamati na walishakaa wakakubaliana na ZZK kuhusu mchezo huo mchafu. Hapa napata wasiwasi kuamini watu wa Kigoma zaidi kwa usaliti
CCM wakimpitisha Lowasa kama ndio mgombea wao, mi ntasubiri majukwaani tu kwenye kampeni.
Watamnadi vipi?watamsafisha Kwa njia ipi?, maana wenyewe ndio walisema yeye mchafu (Fisadi). Sasa nasubiri kuona kama atapitishwa na CCM, njia ipi itatumiwa kuwaambia wananchi (kumsafisha) kuhusu yeye.
Na akipitishwa na CCM, basi hapana Shaka CCM itakuwa imefanya dharau kubwa kwa wananchi wake.
Maana wenyewe walisema hafai, baadae wanakuja kuwaambia wananchi wao kuwa anafaa na kutaka kumpa nchi aongoze, BONGE LA DHARAU HILO. Na akipitishwa na CCM, halafu wananchi wakamchagua kushika madaraka, basi patakuwa hapana shaka yoyote tukiingizwa kwenye GUINESS BOOK.
Maana kitachotokea Tanzania, kwa nchi zilizo makini na wanachokifanya hakiwezi kutokea kamwe.