Mamvi ondoa akili atapitishwa,jitahidi kujitayarisha kisaikolojia kwani hatapita. Pia sisi nchi ulimwengu wa 3 kazi kweli ni kwa sababu democracy changa, ni kweli wenzetu miaka mia na kitu tutakuwa. Ila wenzetu huwezi kukuta wanajadili nani au vipi, hawana time za ajabu,wenyewe wanataka tuwekee hiki kitu kwenye Katiba kwisha, wanawaacha politicians wenyewe mradi nae afuate katiba akienda kinyume bye. Sasa sisi we think president can do everything no. Hatuna katiba na kibaya tuliyoyaweka wakati wa katiba waliyaondoa wakaweka yao,uzuri hakuna tena mchakato. Kumbe sisi tupigane katiba yenye uzalendo kwisha.sio suala la rais yeye ataongoza kwa mawazo yetu. Poleni bado wachanga tutakuwa.