Hakika mutachonga sana hayo leo ndo munayajua hapo awali mulikuwa wapi mulikuwa mukimulamba miguu yake nyie wajitoa ufahamu chichiem hakika ni vichwa vya maboga
Ebu Magu aguse JWTZ, makatibu wakuu, wakurugenzi mbalimbali, mawizarani na halmashauri na viongozi wa kisiasa wengi hawana cheti hiki ama kile na wala siyo hiyo ya kupanda ngazi polepole kuanzia certificate hiyo si forgery.
Hii si ajabu kabisa kuanzia enzi ya Mwalimu watu walipozuiwa kurudia / kukariri madarasa alternative iliyokuwepo kwa kusonga mbele ni kuchukuwa cheti cha ndugu ama hata kuiba na baadaye kusonga mbele kama umefail. It was the order of theday & people were proud of it. Wanasiasa ndo wanaongoza...
Mkapa hapaswi kuwa mpatanishi ina maana amesahau kilichotokea Burundi ? Hatambui kwamba uchaguzi uliomwingiza Nkurunzinza ulikuwa ni uchaguzi bandia ! Ama kweli naye huyu mzee haswa yeye ndiye MWEHU.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.