Recent content by GYNEOCOLOGIST

  1. G

    JamiiForums Tanzania Tatizo la gari kutoa moshi mwingi

    Overhaul engine, yamaanisha nini Mkuu?
  2. G

    JamiiForums Tanzania Tatizo la gari kutoa moshi mwingi

    Moshi ni bluu haujafikia kuwa wa black Mkuu
  3. G

    JamiiForums Tanzania Tatizo la gari kutoa moshi mwingi

    Nashkuru kwa ufafanuzi, gari ina injini ya 3s na inatumia petroli
  4. G

    JamiiForums Tanzania Tatizo la gari kutoa moshi mwingi

    Wakuu inapokuwa gari inatoa moshi mwingi tena wa bluu mara tu baada ya ku start engine, tatizo huwa inakuwa ni nini? matengenezo yake yanakuwaje?
  5. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wadada mna vyupi (nguo za ndani) za mtoko!?

    so huvai?
  6. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ifanye simu yako kuwa private daima

    acheni kubishana nisaidieni mm jambo langu. Nipeni maujanja ya kuweka whatsapp katika IPAD
  7. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tijikumbushe wachezaji wa familia moja waliopata kutamba kwenye ligi kuu ya mpira wa miguu

    umemuacha mwingine aikuwa akiitwa Mhehe Kihwelo
  8. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania How to recover deleted iPad apps

    Wakuu naomba mnijuze naweza vipi ku install katika iPad apps ambazo awali nilizi install Mara ya kwanza na baadae nikazifuta. Apps hizo ni Facebook na imo Nimejaribu kwenda katika store ya apps katika hii iPad nakuta zinaonesha kialama cha cloud. Nimefuata maelezo katika Google kwa kufungua...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Hatimaye mvua zimeanza kunyesha sehemu mbalimbali Tanzania

    Mtogwa haunaga tatizo na mtu, upo very tasty
  10. G

    JamiiForums Tanzania Wale wa pombe kali (Spirits), tuambiane aina nzuri za pombe

    Karibu tupate spirits, asee mhudumu niitie mtu wa jikoni
  11. G

    JamiiForums Tanzania Hatimaye mvua zimeanza kunyesha sehemu mbalimbali Tanzania

    Si unajua mambo yetu yale, ukipiga ile miguu lazima ipate kigugumizi
  12. G

    JamiiForums Tanzania Hatimaye mvua zimeanza kunyesha sehemu mbalimbali Tanzania

    Ilikuwa "mkangafu" au "mdindifu"?
  13. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tukiingiaga magetoni kwenu wakaka na mkituacha huo ni uzembe wenu

    Mzee wa Kitonga, it's true inauma sana kulipia papuchi
  14. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume mnaojisifia mnajua mambo sita kwa sita mnaboa sana

Back
Top Bottom