GYNEOCOLOGIST
Senior Member
- Sep 13, 2016
- 171
- 110
Wakuu naomba mnijuze naweza vipi ku install katika iPad apps ambazo awali nilizi install Mara ya kwanza na baadae nikazifuta. Apps hizo ni Facebook na imo
Nimejaribu kwenda katika store ya apps katika hii iPad nakuta zinaonesha kialama cha cloud.
Nimefuata maelezo katika Google kwa kufungua store Kama ifuatavyo:
TAP UPDATES........... TAP PURCHASED...........TAP NOT ON THIS IPAD, lakini sikufanikiwa.
Masada tafadhali.
Maelekezo niliyoyafuata huko google ni haya hapa: