Ifanye simu yako kuwa private daima

Ifanye simu yako kuwa private daima

hiyo app ya mtk engineering Ipo already installed kwenye kila android device yenye processor ya mediatek, ili kuipata ingia kwenye dialer kisha andika *#*#3646633#*#* ,then itafunguka. pia inategemea na mtengenezaji wa device yako, si kila device itakupa option kama alizozitaja mtoa uzi
 
mi nimiongoni mwa ninaotumia sm ambayo nimelock na nimeshafanya mbinu kazaa kama kurestore ama kuflash lakin bado inaitaj password
Unajua maana ya ku'hack?
Unajua maana ya technology?
Sasa skia, ukitaka simu yako mtu asiiweze labda uifungue alafu unyofoe kifaa kimoja ndani(hapa akigundua pia atakwenda kuweka spare), lakini kuweka setting hakuifanyi simu kuwa imara kama unavyodhani, ndio maana neno HACK likawepo, Ndomana kukawa na neno UNLOCK,
 
hiyo app ya mtk engineering Ipo already installed kwenye kila android device yenye processor ya mediatek, ili kuipata ingia kwenye dialer kisha andika *#*#3646633#*#* ,then itafunguka. pia inategemea na mtengenezaji wa device yako, si kila device itakupa option kama alizozitaja mtoa uzi
Hii program ipo kwa kila sm ambayo ni
Ktk android suite deamon na mtk thermal manager lakin iz app azkupi uwezo wa kufanya vile utaka vyo kufanya
Ila hii mtk engineer mode inakupa option ya kufanya settings za sm kwa kila kitu

Sasa uwez kuifananisha hii na ya sm
 
Unajua maana ya ku'hack?
Unajua maana ya technology?
Sasa skia, ukitaka simu yako mtu asiiweze labda uifungue alafu unyofoe kifaa kimoja ndani(hapa akigundua pia atakwenda kuweka spare), lakini kuweka setting hakuifanyi simu kuwa imara kama unavyodhani, ndio maana neno HACK likawepo, Ndomana kukawa na neno UNLOCK,
Kama kuna nii ivo mbona kuna abaadhi ya sm uwez unlock bootloader! Je teknolojia hakuna usipinge kabla ukujarbu mkuu
Mi napinga kwasabb nima uwakika na hili ndo maana nikaleta uzi huu
 
Sijui kama nmekuelewa,,,funga vyvyte halafu nipe nusu saa ila tu icwe ile CIA walioishindwa
 
Unajua maana ya ku'hack?
Unajua maana ya technology?
Sasa skia, ukitaka simu yako mtu asiiweze labda uifungue alafu unyofoe kifaa kimoja ndani(hapa akigundua pia atakwenda kuweka spare), lakini kuweka setting hakuifanyi simu kuwa imara kama unavyodhani, ndio maana neno HACK likawepo, Ndomana kukawa na neno UNLOCK,
We nae hapa ndio umebugi sasa.
Mi nilikuwa nawasikiliza tu,
Hebu nenda kwanza kasome vizuri maana ya kuhack.
Kama una mwalimu wa computer mwambie akurudishie ada
 
Hahahha.... Usijitie ujuaji, Kuna ku Hack na ku unlock, Android ikipigwa lock una- unlock lakini
kwa simu kama Iphone ikipigwa lock huwezi kui unlock, yaani hadi ui'hack ndio ifunguke... Umeelewa mtoto??
 
Kama kuna nii ivo mbona kuna abaadhi ya sm uwez unlock bootloader! Je teknolojia hakuna usipinge kabla ukujarbu mkuu
Mi napinga kwasabb nima uwakika na hili ndo maana nikaleta uzi huu
Kitu kikishaitwa Android basi ujue ni soko huria, kila mtu anaweza kufanya chochote, yaani hata ukiwela nyanya zako ukazifunga na nyororo basi mtu anaweza akaja na buldozer akang'oa akaweka maembe yake.. Umenielewa? Usitishwe na na majina ya simu, as long as ni android ni mule mule,
Ila kuna kidume kinaitwa ios
 
Hahahahhaa! Kweli umekariri
 
Hahahha.... Usijitie ujuaji, Kuna ku Hack na ku unlock, Android ikipigwa lock una- unlock lakini
kwa simu kama Iphone ikipigwa lock huwezi kui unlock, yaani hadi ui'hack ndio ifunguke... Umeelewa mtoto??
Ueleweki mkuu! Ongea kwa fact jaribu kisha ukiweza kutoa lete marejesho kwa uma kama vile mm niwezavyo kueka na kujarbu ku unlock

Leta fact so maneno ya ya kuambiwa..... CIA NENDA UKAWAULIZE JE SM AMBAZO AZITOKI LOCK nI IOS PEKEE AU IPHONE WATAKUPA ORODHA YA ADROID KIBAO WALIZO SHINDWA
ndio ujue technolojia si maneno ni kufanya
 
Sina muda wa kukuelezea kwa undani cuz hunilipi, siku nyengine ukielezwa kitu kwa kifupi unatakiwa ukakitafute wewe mwenyewe kwa undani zaidi, sawa dogo?
sasa ngoja nikwambie,
Ios ikilockiwa inakuwa imelockiwa kwa kupitoa systme za kampuni ya apple, kwamaana hiyo ili uweze kuitoa lock ni lazima ucheze na server za apple( uzi-hack),
Sasa jiulize unaweza kuhack system nzima ya apple?
Na kuhusu androiid ikilockiwa maranyingi inakuwa ni lock za ndani ya simu, Android hazina server wala mfumo wowote ule, ndomana kuna mkuu hapo juu alisema anaweza akakutolea hiyo lock yako kwa robo saa,
kwangu mimi robo saa pia nyingi, hata dakika 5 zinaweza zisifike,
nadhani umeshapata concept kidogo,
Nikurudishe nyuma kidogo, unaijua simu ya blackberry? Unajua kwanini zilijizolea umaarufu sana kabla hawajajiunga na mfumo wa android???
Narudia tena kama upo tayari kujifunza basi usipende kubisabisha kila kitu, usifate mkumbo kijana, Hii dunia ni zaidi ya uijuavyo. Bye
 
Bado narud kweny hoja si kwamba tunabishana lah! Kajarbu hyo program kisha nenda kokote ata CIA kajarbu ku unlock kisha leta marejesho
 
Unadhani wewe ni mtaalamu sana kiasi kwamba vitu ulivyovishimdwa wewe ndio wengine hawaviwezi pia?
Then Ukishajifunza kubadilisha ROM, utajua ninachomaanisha, na usione thread yako imekosa wachangiaji wengi, watu wameshaona mada unazobishana ni zakitoto, Na mimi naona nimeingia chakike najishushia heshima tu,... Goodluck mr
 
acheni kubishana nisaidieni mm jambo langu. Nipeni maujanja ya kuweka whatsapp katika IPAD
 
Unadhani wewe ni mtaalamu sana kiasi kwamba vitu ulivyovishimdwa wewe ndio wengine hawaviwezi pia?
Then Ukishajifunza kubadilisha ROM, utajua ninachomaanisha, na usione thread yako imekosa wachangiaji wengi, watu wameshaona mada unazobishana ni zakitoto, Na mimi naona nimeingia chakike najishushia heshima tu,... Goodluck mr
Mkuu atubishan ww ndo unaleta maelezo nje ya point swala la kubadil ROM nilishafanya MIAKA ILIOPITA si kwangu tu hata kwa washkaji

Ndo maana naona unaleta hoja zisizo endana na mada
Sipo kweny kubishana mkuu na wala mi smjuaji..... Ila usiongee vitu ambavyo ujavifanyia research nikimaanisha acha kukariri

Lengo la kuleta uzi huu ni kupeana maarifa mapya au kuongezea nyama kweny hoja ikiwa tayar ww mweny umeshafanyia huwakiki yakinifu

Na si kulumbana na watu wakuone bingwa apana hoja yenye visibitisho ni bora kuliko maneno yeny vitisho mkuu
.
Kila sku ni sehm yakujifunza!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom