Ni Ujinga kumind hali ya kua wewe ni mtanzania, Hata Ulimwenguni wakiisifia Arusha basi ujue wameisifia Tz.
Halikadhalika pia ni ujinga kuponda kwa hoja za kijingajinga, pia ni ujinga kusifia ati kwa sababu umezaliwa pale au kwa sababu wewe/baba/babu yako anakijishamba cha robo eka pale...
Kama unachosema ni sahihi basi wengi tupo pabaya kwa kweli.
Nchi za wenzetu walioendelea hua wanasema "Bila tafiti hakuna ruhusa ya kuzungumza"
Sina shaka kama hujafanya tafiti ya ulichozungumza. Shaka yangu ni moja tuu, Je, umefanya tafiti ya hicho ulichosema ????
Na je wale waliopata watoto...
Kwa jinsi nanavyojua mimi jambo hili pekee waliloliamua chadema litawapelekea kukosa kura zaidi ya mil nne katika uchaguzi mkuu wa 2015 kwani ni ngumu sana kumshawishi muislam yoyote makini kua christian democratic unionn-cdu ni chama kisichokua na element zozote za kidini ! Chadema walianza...
1.NEXT TIME USIROPOKE UPUUZI WAKO KAMA HUO TENA. KWANI HATA Dr. SLAA ALIPIGIWA KAMPENI MAKANISANI NA GAMANYWA HUKU AKISEMA Aleeeeluuuyaaaaa... Aiimeeen...! Kama unamzungumzia Prof. Lipumba kisiasa, usikashifu dini yake,wewe kosoa chama chake anachokiongoza na sera zake.
2.Unapozungumzia mambo ya...
Huo ufisadi wa mkapa ambao unataka tuuzungumzie, Ulipata myanya baada ya Kufa Mwl.J.K Nyerere. So, kwa nn kipindi cha nyuma haukuwepo? Na ni kwa nn wanasiasa waliokataliwa na Mwl.Nyerere walipewa nafasi na wana-CCM baada ya yeye kufariki? Pia,Iweje Mwl. Nyerere aondoke TZ mzima wa Afya kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.