Ahahaha! Naona mzimu wa Ritz unazidi kukutafuna mpaka unaweseseka hovyo, Ritz ni Hostile kwa Pro-CDM-JF, ID yangu inatosha kupambana na Pro-CDM-JF, wote.LATIFA, the remedy of fire is fire!
Ritz is Mettle, Ahahaha!!Labeled : JF Hate Preacher
akili yako changanya na yakuambiwa kwani mawazo yako ni hafifu mnocdu ni chama cha siasa kinachoongoza nchini ujerumani chenye mlengo wa kustawisha na kuwaunganisha wakristo nchini ujerumani, sheria ya vyama vya siasa inakataza inazuia kuwa na vyama vya kidini nchini kwetu kwa ujerumani sheria imeruhusu, chama cha democrasia na maendeleo kinashutumiwa kwa kuwa na mrengo wa kidini, leo chadema wanashirikiana na cdu hamuoni kwamba cdm imeamua kujivua gamba? Na malengo kamili ya chama hicho yameonekana? Kwa hili naomba msajili wa vyama aliangalie, ipo siku kikatokea chama kikafanya urafiki na muslim brotherhood hamuoni kwamba tutaigawa nchi mapande mapande???????......,
cdu ni chama cha siasa kinachoongoza nchini ujerumani chenye mlengo wa kustawisha na kuwaunganisha wakristo nchini ujerumani, sheria ya vyama vya siasa inakataza inazuia kuwa na vyama vya kidini nchini kwetu kwa ujerumani sheria imeruhusu, chama cha democrasia na maendeleo kinashutumiwa kwa kuwa na mrengo wa kidini, leo chadema wanashirikiana na cdu hamuoni kwamba cdm imeamua kujivua gamba? na malengo kamili ya chama hicho yameonekana? kwa hili naomba msajili wa vyama aliangalie, ipo siku kikatokea chama kikafanya urafiki na muslim brotherhood hamuoni kwamba tutaigawa nchi mapande mapande???????......,
jamaani ninachohitaji wanaJF wajadili hoja si kulalamika, shutuma za udini juu ya cdm zipo je? hamuoni kuwa kushirikiana na cdu shutuma hizo ni kweli? na kwanini walipokutana kikao cha siri na Rais wa Gmny m/mkt Arfi au Zitto mbona hawashirikishwi?au kuna siri nzito?
pumba zako zinakera sana kwataarifa yako heche ameongozana kwenye safari hiyo na makamu mwenyekiti znz SAID ISSA pamoja na mbunge SABREENA SUNGURA wote waislamu na hawa watu wameenda kutanua ushirikiano na vyama vingine watapita wingereza na ufaransa pote watakutana na viongozi wa vyama vyenye mlengo wa kiconsevertive kama cdm,cdu ni chama cha siasa kinachoongoza nchini ujerumani chenye mlengo wa kustawisha na kuwaunganisha wakristo nchini ujerumani, sheria ya vyama vya siasa inakataza inazuia kuwa na vyama vya kidini nchini kwetu kwa ujerumani sheria imeruhusu, chama cha democrasia na maendeleo kinashutumiwa kwa kuwa na mrengo wa kidini, leo chadema wanashirikiana na cdu hamuoni kwamba cdm imeamua kujivua gamba? na malengo kamili ya chama hicho yameonekana? kwa hili naomba msajili wa vyama aliangalie, ipo siku kikatokea chama kikafanya urafiki na muslim brotherhood hamuoni kwamba tutaigawa nchi mapande mapande???????......,
Acha ushoga wewe pimbiChristian Democratic Union + Chama cha Democrasia na Maendeleo = Janga la TAIFA.