Ukweli Kuhusu Ibrahim Lipumba.

we kilaza kweli

ktk nyekundu hapo,hakutuma maombi kuhudhuria-bali hiyo ni kampuni inayo toa fellewship ktk issue zinazohusu maendeleo ya siasa,alichokifanya Pro Lipumba ni kutuma proposal na wakachaguliwa watu 20 nae akawa ni mmoja wa hao 20 ili sasa kuandaa mchakato mzima ambao wewe umeleta video yake

mimi mnaniuzi sana baadhi ya wana jf hasomi,nyie mnakutupuka tu

nakumbuka hata kuna post hapa ya kutaja watu watatu watakao ingizwa ktk tume ya mchakato wa kukusanya maoni ya katiba mpya,kuonyesha kuwa hamsomi mkakurupuka na kutaja hata wajumbe ambao sheria aliyosaini raisi haiwaruhusu kuwa wajumbe

jamani someni mtakuja kuwa viongozi na mtasaini mikataba feki kwa uvivu wa kusoma

mwenzeni kiinglish huwa sikijui, kama kuna ninachokijua basi ni kile cha zamani, hivyo namba kusaidiwa, eti ku prpose au kutuma proposal maana yake nini?
 
Ina maana kukaa miezi yote mitano amefanya presentation ya lisaa limoja?
 
Wanahangaika hapa JF kuichafua CUF, Lipumba yuko juu..

Yule padre wao hajawahi ku-publish paper kwenye journal inayoeleweka..

Angeweza mbona JF pasingetosha ..aisee..magwanda

Wewe ujue black rose yumo humu? Jifiche!
 
Huyu dikteta anadiriki kutoa lecture ya demokrasia na uprofesa wake uchwara wakati hakuna mtu yoyote amewahi kuwa kiongozi wa CUF zaidi ya yeye tokea chama kianzishwe. Jinafiki likubwa!
 
Huyu dikteta anadiriki kutoa lecture ya demokrasia na uprofesa wake uchwara wakati hakuna mtu yoyote amewahi kuwa kiongozi wa CUF zaidi ya yeye tokea chama kianzishwe. Jinafiki likubwa!

CUF wana laana ya kumfukuza Mapalala hawatafanikiwa milele, na wengine wenye historia kama hiyo ni NCCR; wasipotubu hawafiki kokote zaidi ya 'kuokota machupa ya maji ya azam'.
 
Waandishi wetu sii wafuatiliaji wa mambo,wangeweza kumuuliza hili jana alipozungumza nao kisha wana CUF wangejua kuwa juzi wamepoteza muda wao na kujitesa bure juani
Samahani wakuu hivi ile tabia ya Mtu akifeli anaenda kusomea uandishi wa habari TSJ pale Ilala sikuhizi imethibitwa?
 
MKUU SI UNAWAJUA WALA HALWA NA WACHEZA BAO MISIKITINI WANAVYODANGANYANA???

UMESAHAU KUNA MWENZAO ALIKUWA ANAWAAMBIA KULIPA KODI YA VAT NI MATOKEO YA MFUMO KRISTO NA NENO VAT NI KIFUPISHO CHA VATICAN?? THEN WAKAWA WANASEMA Takbiiiiiiiiir --- Allahuwakbar

KWA KIFUPI HII JAMII YA WAFUASI WA CCM B ITAENDELEA KUCHELEWESHA SANA MAENDELEO YA TANZANIA COZ NI WATU WA KUDANGANYANA BILA KUULIZA WALA KUFANYA UTAFITI WOWOTE.

Mwee, kumbe tumefika huku! Kwa hiyo walitaka iwepo islamic tax system? Laughable.
 
Huu uzembe wa kusoma na kufuatilia mambo utatufikisha kubaya zaidi. So far, mtu kakaa miezi yote hiyo huko-kama mwenyekiti wa chama mojawapo kikubwa cha upinzani nchini, lakin WATU HAWAJAFUATILIA KWA KINA ALIKUWA ANAFANYA NINI, wanakimbia tu kwenda kumpokea kwa mbwembwe na hadithi za UN!!!!!

Mkulu

Heshima mbele...asante
 
Hivi hakuna kifungu cha sheria kinachoweza kutumika kumfungulia mashitaka mtu mwongo? msaada please!. Maana huwezi kufanya watu wazima kama midoli. Na hili ni fundisho watanzania tuache uvivu wa kutafuta habari/utafiti kwani dunia ya sasa yenye TEHAMA hali ya juu hakuna jambo unaloweza kudanganya,labda ukafanyie kuzimu!
 
Wandugu nielewesheni kidogo. Mbona humo wanamtambua lipumba ka Dr. na sio Prof.
Unajua wenzetu (hasa Marekani ambako nimewahi kuishi na kusoma huko) wanamtambua profesa kuwa ni mtu yoyote anayefundisha Chuo Kikuu. Kwa sio ajabu ukakuta mtu pengine ana masters degree au hata first degree lakini maadamu anaingia darasani kufundisha wakamwita profesa. Lakini mtu huyohuyo huwezi kuwasikia wakimwita Dr. Kwa hiyo,anayepaswa kuitwa Dr. ni yule tu mwenye elimu ya PHD (ondoa Dr. wa binadamu na wanyama). Kwahiyo wao kumuita Dr.Lipumba badala ya Profesa wako sahihi. Ila kama Mh. Lipumba angekuwa bado anaendelea kufundisha Chuo Kikuu wangemtambua kwa cheo hicho cha uprofesa. Ndio utamaduni wao.
 
MKUU SI UNAWAJUA WALA HALWA NA WACHEZA BAO MISIKITINI WANAVYODANGANYANA???

UMESAHAU KUNA MWENZAO ALIKUWA ANAWAAMBIA KULIPA KODI YA VAT NI MATOKEO YA MFUMO KRISTO NA NENO VAT NI KIFUPISHO CHA VATICAN?? THEN WAKAWA WANASEMA Takbiiiiiiiiir --- Allahuwakbar

KWA KIFUPI HII JAMII YA WAFUASI WA CCM B ITAENDELEA KUCHELEWESHA SANA MAENDELEO YA TANZANIA COZ NI WATU WA KUDANGANYANA BILA KUULIZA WALA KUFANYA UTAFITI WOWOTE.

1.NEXT TIME USIROPOKE UPUUZI WAKO KAMA HUO TENA. KWANI HATA Dr. SLAA ALIPIGIWA KAMPENI MAKANISANI NA GAMANYWA HUKU AKISEMA Aleeeeluuuyaaaaa... Aiimeeen...! Kama unamzungumzia Prof. Lipumba kisiasa, usikashifu dini yake,wewe kosoa chama chake anachokiongoza na sera zake.
2.Unapozungumzia mambo ya siasa, jarib kuondoa Dini kwani hivyo ni v2 viwili tofauti. Alaf nakuona mpumbavu kwa kuwaita waislam CCM-B wakati uislam ni dini na sio Chama cha siasa wala haufungamani na chama chochote.
3.Usipende kuchukua mawazo ya m2 mmoja kisha ukasema jamii yao nzima imesema hivyo, kwani mimi siwaiti wakristo wote ni *******(mashoga/wafilanaji) kwa kuwa padri wao marekani alihalalisha ufirauni "ndoa ya jinsia moja"
4. Amka jenga hoja brother, Wewe mwenyewe ndio unajirudisha nyuma na si sisi waislam..
 
Watu wengine bana wanatoka chooni wanakurupuka kuja kuandika utumbo hapa.Unajiona wewe mjanja kuja kututoa matongotongo kumbe we ndo hamnazo.
 
Unajua wenzetu (hasa Marekani ambako nimewahi kuishi na kusoma huko) wanamtambua profesa kuwa ni mtu yoyote anayefundisha Chuo Kikuu. Kwa sio ajabu ukakuta mtu pengine ana masters degree au hata first degree lakini maadamu anaingia darasani kufundisha wakamwita profesa. Lakini mtu huyohuyo huwezi kuwasikia wakimwita Dr. Kwa hiyo,anayepaswa kuitwa Dr. ni yule tu mwenye elimu ya PHD (ondoa Dr. wa binadamu na wanyama). Kwahiyo wao kumuita Dr.Lipumba badala ya Profesa wako sahihi. Ila kama Mh. Lipumba angekuwa bado anaendelea kufundisha Chuo Kikuu wangemtambua kwa cheo hicho cha uprofesa. Ndio utamaduni wao.

UUNTWA,

..uliyoyasema ni kweli.

..Wamarekani pia hawapendi kujikweza na hizi tittle za Dr, au Prof.

..wapo wengi sana wanashahada za PhD lakini hawajitambulishi as Doctors.

..only when they r doing something in their field of study ndiyo wanajitambulisha kama Drs.

..Ron Paul anayegombea Uraisi wa Marekani sasa hivi ni Doctor wa binadamu lakini hawamuiti Dr.Ron Paul.

..Newt Gingrich ni PhD holder lakini huwezi kumsikia akijitamba na kujiita Dr.Newt Gingrich.
 
1.NEXT TIME USIROPOKE UPUUZI WAKO KAMA HUO TENA. KWANI HATA Dr. SLAA ALIPIGIWA KAMPENI MAKANISANI NA GAMANYWA HUKU AKISEMA Aleeeeluuuyaaaaa... Aiimeeen...! Kama unamzungumzia Prof. Lipumba kisiasa, usikashifu dini yake,wewe kosoa chama chake anachokiongoza na sera zake.
2.Unapozungumzia mambo ya siasa, jarib kuondoa Dini kwani hivyo ni v2 viwili tofauti. Alaf nakuona mpumbavu kwa kuwaita waislam CCM-B wakati uislam ni dini na sio Chama cha siasa wala haufungamani na chama chochote.
3.Usipende kuchukua mawazo ya m2 mmoja kisha ukasema jamii yao nzima imesema hivyo, kwani mimi siwaiti wakristo wote ni *******(mashoga/wafilanaji) kwa kuwa padri wao marekani alihalalisha ufirauni "ndoa ya jinsia moja"
4. Amka jenga hoja brother, Wewe mwenyewe ndio unajirudisha nyuma na si sisi waislam..

umesema kweli mkuu!
hata mimi siwalaumu waislamu wote kwa kitendo cha mtume Mohammad kumuingilia mtoto Aisha binti Asidiq akiwa mdogo!
 
MKUU SI UNAWAJUA WALA HALWA NA WACHEZA BAO MISIKITINI WANAVYODANGANYANA???

UMESAHAU KUNA MWENZAO ALIKUWA ANAWAAMBIA KULIPA KODI YA VAT NI MATOKEO YA MFUMO KRISTO NA NENO VAT NI KIFUPISHO CHA VATICAN?? THEN WAKAWA WANASEMA Takbiiiiiiiiir --- Allahuwakbar

KWA KIFUPI HII JAMII YA WAFUASI WA CCM B ITAENDELEA KUCHELEWESHA SANA MAENDELEO YA TANZANIA COZ NI WATU WA KUDANGANYANA BILA KUULIZA WALA KUFANYA UTAFITI WOWOTE.

Dah! Nimecheka sana. Eti VAT ni Vatcan! Kweli nimeamini Madrassa ni mashina ya wakereketwa wa KAFU
 
Kama kuna kitu Chadema hawakukitegemea ni mafanikio ya Lipumba na mapokezi makubwa watanzania waliympa! Wanatafuta kila source ili kukandia hawajapata! USHAURI: Kwa kuwa Lipumba alienda safari ya taaluma yake uchumi, bila shaka na Slaa hufanya safari za taaluma yake Upadri, mwandalie mapokezi akirudi VATICAN, tatizo liko wapi?
Mimi naomba kujua, kwa nini Alhaji Lipumba katumia muda mwingi kwenye nchi za wakristo hasa bakora kubwa ya waislam, Marekani wakati nchi za waislam ziko taabani kiuchumi? Tamaa yake ya fedha imemfanya azidi kuupalilia mfumo Kristo. Msishangae siku mkisikia anakula kitimoto. Kama amewasaliti waislam na kwenda kuimarisha uchumi wa wakristo, basi Lipumba HAFAI HATA KUWA IMAM achilia mbali UMUFTI ANAOUWINDA USIKU NA MCHANA
 
Back
Top Bottom