Recent content by Gwizi

  1. G

    Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

    Nilisoma gazeti moja ambalo lilimnukuu mtu anayeitwa Immanuel Okwi kuwa leo lazima atawfunga Yanga. Na kama atashindwa kufanya hivyo, lazima atatengeneza nafasi kwa wenzake ili wafunge. Je leo alikuwepo kati ya 11 waliocheza? Kama alikuwepo, alifanyaje, alimtengenezea nafasi D. Mwape? Walioliona...
  2. G

    Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

    Nilisoma gazeti moja ambalo lilimnukuu mtu anayeitwa Immanuel Okwi kuwa leo lazima atawfunga Yanga. Na kama atashindwa kufanya hivyo, lazima atatengeneza nafasi kwa wenzake ili wafunge. Je leo alikuwepo kati ya 11 waliocheza? Kama alikuwepo, alifanyaje, alimtengenezea nafasi D. Mwape? Walioliona...
  3. G

    Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

    Ahsante kwa updates za haraka (mara baada ya mchezo) za msimamo wa ligi. Ila hesabu za hapo nilipoweka bold and underline bado sijayaelewa. Ni makosa ya kutoa (kutafuta the difference) au kumbukumbu za magoli ya kufunga na kufungwa hayako sawa au ni bado maumivu ya matokeo ya jioni ya leo? Niko...
  4. G

    Job Ndugai ni Kiboko ya Nidhamu Bungeni sasa

    Jamani, sina nafasi ya kufuatilia kwa karibu sana mambo yanayoendelea huko bungeni Dodom, ila JF imekuwa ndiyo sehemu ya kupata taarifa. Kwa kipindi cha wiki nzima nimekuwa nikisoma taarifa za vikao vya bunge na challenges ambazo CDM (chama cha upinzani) kinazipeleka kwa serikali ya CCM na...
  5. G

    CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

    Habari zenu wakuu. Nlitamani sana kuchangia mjadala lakini mtandao ulikuwa unaniambia sija-login (japo nilikuwa nina-login). Ikiwa suala la kusema Yanga imebebwa ni jambo tu la utani wa mpira, basi sina tatizo, lakini mie niko mbali na Tz hivyo niliangalia mechi zote kupitia Supersport...
  6. G

    MwanaHALISI: Makala ya leo ya Ndimara ni 'must read'

    Mbona neno "ZAIDI" kwenye kifupisho cha hii kauli mbiu limesahaulika? ZAIDI limerudiwa mara tatu kukazia umuhimu wake. Kwa vile tumeambiwa chama kilikuwa na "Umaarufu wa Bandia" ina maana tayari kilikuwa kimeshaanza ku- ANGUKA. Sasa utabiri ulioletwa na kauli mbiu ulimaanisha ANGUKA Zaidi.
  7. G

    Nape na madai ya uchagga ndani ya CHADEMA

    Nimekuwa nikifuatilia mambo mbalimbali katika magazeti na naweza kusema kuwa inaonekana kuna kawaida ya watu/viongozi wa CCM kuchukua kila aina ya silaha wanayoiona itawasaidia kumwangusha mpinzani wao. Wakati wa kampeni nilisoma Beno Malisa (ambaye naye nafikiri ni Mchagga) akisema "Kule...
  8. G

    Nyerere, Mwinyi, Mkapa and Kikwete: Leadership Styles and A Lesson to Learn!

    Mkuu F Sanga, hili jedwali nimelipenda sana. Japo umesema hukuliweka vizuri, naona limeweka mwelekeo mzuri. Ila ninaona sehemu mbili kwa maoni yangu zingekaa hivi; Utajiri: Mkapa, Kikwete, Mwinyi, Nyerere Vita na Ubabe: Nyerere, Mkapa, Kikwete, Mwinyi
Back
Top Bottom