Recent content by gwendoline mushi

  1. G

    JamiiForums Tanzania leo ni siku yangu ya kuzaliwa

    Happy birthday. Long life.
  2. G

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    Haswa inabidi atulie mtoto mdogo anataka Mambo ya ukubwa akiwa mkubwa sijui atafanya yapi Sasa. Ila chamoto kakipata guilty ndo itammaliza mrembo huyu
  3. G

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    Umeshaambiwa unatokana na mtu kuangukia kichwa, car accident. Au kupigwa NA kitu kichwani. Ma Maelezo ya kifo cha kanumba umeambiwa alianguka na kugonga kichwa sehemu ya nyuma kutoka kwa dada mtu
  4. G

    JamiiForums Tanzania Hadi msiba uishe tutaona mengi..tupia maneno kwenye hizi picha

    Kweli yani hapo ni full umbeaaaa wanapeana na Bwana mkubwa hataki kupitwa macho katoa hivyo masikio atakuwa kayasimamisha
  5. G

    JamiiForums Tanzania Hadi msiba uishe tutaona mengi..tupia maneno kwenye hizi picha

    Kweli yani hapo ni full umbeaaaa
  6. G

    JamiiForums Tanzania Hadi msiba uishe tutaona mengi..tupia maneno kwenye hizi picha

    Anasikiliza apate udaku kidogo ili na yeye akitoka apate cha kusema km wanavyo zusha watu utasema kanumba aliwaambia au walikuwa pale tukio lilipo tokea ati mwache ajipatie. Habari
  7. G

    JamiiForums Tanzania "Ujinai" wa Lulu katika "mauaji" ya Kanumba (R.I.P)

    Umenena kweli kijana hapa inahitajika hekima na uchunguzi wakina.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Christina Shusho na MAFUVU

    Makubwa mi sielewi dunia sasa inatisha jamani.
  9. G

    JamiiForums Tanzania Kitu Perfume. . . .

    Haya mfanya biashara. D&G.UNAUZAJE?
  10. G

    JamiiForums Tanzania utamfikiriaje mwanaume kam huyu?

    Haswa. Huyu kanogewa na amezoea.angekuwa anaanza asinge sahau kwasb ya woga
  11. G

    JamiiForums Tanzania utamfikiriaje mwanaume kam huyu?

    Patachimbika haswa. Mi mwenyewe na imagine akiamua kumweleza sasa km wife anaudhibitisho akafungua na kumwonesha. Mtu hapa lazima awe mdogo km pirition But kuna mwanaume wengine wazoefu anaweza mgeuzia kibao. Ha ha ha.Namwonea huruma haya mambo Bwana .....
  12. G

    JamiiForums Tanzania utamfikiriaje mwanaume kam huyu?

    Powa. Ntamtell
  13. G

    JamiiForums Tanzania utamfikiriaje mwanaume kam huyu?

    Yani wapo tele wa hivyo. Tena Facebook book ndo pachafu Sasa hivi watu wamegeuza kuwa sehemu ya kutongozana.
  14. G

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Kununua Gari

    Neenda kwenye mtandao wa "be forward" una magari ya bei nzuri. Angalia gharama unaweza pata kwa that money yani ikijumlisha na gharama za usafirishaji.check kwanza huo mtandao.all the best
  15. G

    JamiiForums Tanzania utamfikiriaje mwanaume kam huyu?

    Kuna mwanaume anamke wake mzuri sana .mwanaume huyu yeye haishi kusifia wanawake kwenye internet na kuomba namba za simu. Na kuwaita Majina dear. sasa mkewe inamuuna coz mume wake huwa hamsifii hata km kapendeza la na akijiangalia wale wanao sifiwa internet amewapita. Anaumia sana anashindwa...
Back
Top Bottom