Nahitaji Kununua Gari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahitaji Kununua Gari

Discussion in 'Matangazo madogo' started by stephot, Mar 20, 2012.

 1. stephot

  stephot JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 5,023
  Likes Received: 2,642
  Trophy Points: 280
  Nahitaji Toyota Carina or Premio isiwe D-4 engine kwa 6million Tshs ,kama unayo ni pm.
   
 2. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Tetesi?
   
 3. g

  gwendoline mushi Member

  #3
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Neenda kwenye mtandao wa "be forward" una magari ya bei nzuri. Angalia gharama unaweza pata kwa that money yani ikijumlisha na gharama za usafirishaji.check kwanza huo mtandao.all the best
   
 4. o

  oldonyo JF-Expert Member

  #4
  Mar 20, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  nimecheka kinoma yani ye mwenyewe mnunuzi hajiamini mpaka anasema tetesi.
   
 5. mseseve

  mseseve JF-Expert Member

  #5
  Mar 20, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 518
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  ninayo RAV4 milango5 kwa tsh7.5mil tuu kama unahitaji tuwasiliane
   
 6. K

  Kamuzu JF-Expert Member

  #6
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 998
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Tundika picha tuone, halafu ongeza nyama kwenye maelezo yako.
   
 7. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #7
  Mar 20, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,720
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Mkuu tatizo liko kwenye ushuru bandarini sio kununua na kusafirisha,unafikiri watu wanavyokuja jf kuuliza wenye magari wanaouza wanapenda? Hawapendi bali ushuru umepanda maradufu,unanunua nje gari kwa milion 4 unalipia ushuru milion 5 jumla tisa haujasajili na kuweka namba.
   
 8. k

  kimafey Member

  #8
  Mar 20, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nina Toyota Carina
  Ya mwaka 1998 imeingia nchini na kusajiliwa december 2008 imeanza kutembea rasmi 2009
  CC 1762
  silver Mettalic,
  Chassis no AT21....
  Engine No 7AG.......
  Imetembea km 137,000
  Inatembea na iko katika hali nzuri sana bei ya kuuzia ni 7m haipungui chini ya hapo if interested nipigie 0767908081
   
 9. stephot

  stephot JF-Expert Member

  #9
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 5,023
  Likes Received: 2,642
  Trophy Points: 280
  Mkubwa weka na picha basi ili kama inalipa niifukuzie!
   
 10. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #10
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Mcheck kwa PM mfanye biashara
   
 11. k

  kimafey Member

  #11
  Mar 20, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kesho nitajitahidi niweke picha ila tungewasiliana uione live ingekuwa poa sana ujue picha sa nyingine zinadanganya au we nipigie unielekeze utakopatikana siku yoyote nikuletee uione.
   
 12. networker

  networker JF-Expert Member

  #12
  Mar 20, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  [​IMG]
  Color-Metalic Silver
  Model-5A FE
  CC-1498
  Millage-91,000Km
  Transmission-Automatic
  Reg-T 839 BLC
  Year 2000
  Condition-Good
  bei 8 million - maelewano yapo


  [​IMG]
  Color-Pearl White
  Model-GX 100
  CC-1998
  Transmission -Automatic
  Millage-98,000Km
  Condiition-Good
  Reg BCN
  bei- 8 million maelewano yapo.


   
 13. W

  WAPOMA JF-Expert Member

  #13
  Nov 28, 2013
  Joined: Dec 1, 2012
  Messages: 689
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwenyewe nashangaa nimeenda kwa thread ya biashara sijui yaingiaje kwa tetesi.!!Nacheekaaaaaaaa!!!
   
 14. Qulfayaqul

  Qulfayaqul JF-Expert Member

  #14
  Nov 28, 2013
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 471
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  kweli ndugu weka picha hata mm niko interested na hiyo gari
   
Loading...