Recent content by Gwappo Mwakatobe

  1. Gwappo Mwakatobe

    Kamwe sikulitegemea hili

    Sijui sasa tutapata wapi mada zako murua za kuelimisha umma??!! 😭😭😭
  2. Gwappo Mwakatobe

    Xi, Putin, na Kim wakiingia kwenye uwanja wa gwaride la kijeshi mjini Beijing

    Ubunifu huo na vifaa hivyo vingekuwa kwa ajili ya maendeleo (kilimo, afya, elimu, miundombinu ya ujenzi, usafiri na mawasiliano), tungekuwa mbali sana. Sasa ni kwa ajili ya kuuana - vita!
  3. Gwappo Mwakatobe

    Nakumbusha: Kutembea kwa miguu ndio zoezi bora na salama, kukimbia ni kujizeesha kwa hiyari

    Ukiwa pekupeku, viatu mkononi, ni bora zaidi. Nyayo zigusane na kusuguana na ardhi/udongo. Tukumbuke kuwa mwili ni udongo na unajengwa kwa udongo. Hata ukichakaa utarudi kuwa udongo.
  4. Gwappo Mwakatobe

    GE2025 Tunakwenda na Samia 2530

    2530 hiyo ni karne ya 26! Kwa sasa tuko karne ya 21. Ni takribani miaka 500 ijayo ambapo sisi tuliopo, watoto wetu, wajukuu wetu na hata vitukuu wetu; hakuna atakayebaki hai!
  5. Gwappo Mwakatobe

    Ndoa imenizawadia kiharusi

    Pole sana mwanangu!
  6. Gwappo Mwakatobe

    GE2025 Mkuranga: Kura feki za kamatwa zikisafirishwa kwenda ukumbini

    Alikuwa anaongopa hadharani bila soni hata kidogo!
  7. Gwappo Mwakatobe

    Anayejua dawa ya jino, leo sijalala

    Tumia Secinidazole utapona ndani ya siku 3. Ni dawa ya tumbo lakini pia inaponya maumivu makali ya meno.
  8. Gwappo Mwakatobe

    Rais Samia, fikiria hatua sahihi kwa maslahi ya Taifa na familia yako

    Ushauri mzuri sana kama ungeweza kuufikisha kwake, SSH. Sina uhakika kama anaweza kuusoma hapa. Mtumie kwa mawasiliano yake rasmi na binafsi.
  9. Gwappo Mwakatobe

    Kwa wale mnaolalamika Mtume Mwamposa kupewa Tanganyika Packers mnadhani kwa Gamanywa au Mwingira hapakuwa Viwanda?

    Kwanza ni pembeni ya Tanganyika Packers ambapo majengo na uwanja wake bado upo! Aidha, majengo ya viwanda vingi serikali ilishauza awamu ya 3/4 au kutelekeza kabisa, ikiwemo nyumba za serikali.
Back
Top Bottom