ndugu yangu mlipakodi umejadili vema mawazo yako, swali lako ndilo jibu lake ni hakika wakiwafukuza itakuwa ni zero sum game kinacho subiriwa hapa ilitupigie mstari majibu na mawazo yetu ni wakati na ukweli uliopo kwenye dhamiri za pande zote mbili.Ni kamati kuu ya CDM na ZZK na Dr Kitila ndiyo...
Mungu muumba mbingu na nchi hashughuliki na nyota za wanadamu, yeye ni Roho na ana operate kwenye roho zinazo mtii, mwamini na kumwabudu. unachokiita nyota ni matokeo ya roho kumtii Mungu na kutenda yaliyo mema na mara zote mafanikio ya namna hii ni endelevu. Ila mungu bahari nyota zake ni kwa...
Wako sawa kwakuwa TBC inaendeshwa na fedha zao mifukoni na si kodi za watanzania,siku yaja watakuwa nje ya mfumo huu ndipo wataelewa nini maana ya television ya Taifa.
Kwenye International relations actors ni wengi na wananchi ( individuals) ni mojawapo na huko ndiko foreign policy/ diplomacy yaweza anzia. SIYO KILA KITU KITAWEKWA HAPA LAKINI TAMBUENI UHUSIANO NA ISRAEL NI MUHIMU KWA TAIFA LETU.........! devine rule!
Mara nyingi tabia zinazoonyeshwa na vijana na hata wenye umri mkubwa zina akisi malezi na mafundisho kutoka ngazi ya familia, shule, dini nk. Swali la kujiuliza tunafundishwa nini huko?
Ndugu wana jamvi ni siku nyingi najiuliza hivi kwa nini bendera yetu ya Taifa inapepea kuanzia asubuhi hadi jioni na usiku inashushwa? katika maana na dhumuni la bendera ya Taifa ndivyo inavyotakiwa kuwa? vipi nchi nyingine zinafanya kama sisi na kama ni tofauti, utofauti huo unaletwa na nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.