Recent content by gwanji

  1. G

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Jamani naomba kupata maqasiliano ya shule ya umoja iliyopo tabora. Asanten
  2. G

    JamiiForums Tanzania Magumu gani umeyapitia/unayapitia katika kutafuta kazi?

    nimemaliza chuo mwaka jana, Binafsi cjapata usumbufu ktk kutafuta kazi, kikubwa nilicho kifanya ni kumtanguliza Mungu kkt kila hatua yangu, nilifunga nakuomba mara kadhaa nikimsihi Mungu anipe kazi,kwakweli Mungu ni mwaminifu amejibu maombi yangu, nimefanya interview moja tu na nasasa na kazi...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Nimepata kazi

    dogo acha makuzi, degree level nyingine. Acha majigambo, inakupasa kumshukuru Mungu kwa nafasi ya upendeleo aliyo kupa, si kwamba unajua kuliko wengine
  4. G

    JamiiForums Tanzania TPDC yakanusha utapeli wa ajira 500

    Radio ya malimbukeni hyo, wahuni wahuni tu wote, hawana maadili,
  5. G

    JamiiForums Tanzania NAFASI ZA KAZI Graduates International Organization (GIO)

    pole sana kijana hata mimi nilitumiwa message hiyo lakini wanan jamvi wakanitahadharisha. so next time kua makini,
  6. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huu mwili sio ndugu zangu, nisaidieni mawazo

    pole sana bro, but jikubali tu kaka, pia mazoez ni muhimu especially ya jim
  7. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke anahitaji kushiriki tendo la ndoa mara ngapi kwa wiki?

    Daily yaani every day
  8. G

    JamiiForums Tanzania Tuliofanya usaili TPDC mwezi Mei majibu ni lini?

    kimsingi hawatendi haki kabisa, ukimya wao CJUI unamaanisha nini, kama kuna sababu za msingi za kuchelewesha majibu watoe updates zozote na wanapoendelea kua kimya tunazidi kua njia panda. Wanajamvi tundelee kupeana taarifa ili tujue nini hatma yake
  9. G

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi NSSF

    Ni muda kidogo tangu tulipotuma maombi lakini naona kimya kingi, mwenye updates zozote anijulishe
  10. G

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi, Halmashauri ya Jiji Arusha

    asante sana
  11. G

    JamiiForums Tanzania Just relax ndugu, interview siyo vita

    safi sana,
  12. G

    JamiiForums Tanzania TPDC wameshaanza kuita watu kazini

    asanteee kwa taarifa ndugu, tunapata ma hope
  13. G

    JamiiForums Tanzania Ajira za utumishi: Nimeona makontena matatu ya barua zakuomba kazi utumishi.

    baada ya kuyaona ikawaje
Back
Top Bottom