DUET huo ndo ufafanuzi uliowahi kutolewa na sekretariati ya ajira wanaopozungumzia certified hawamaanishi hyo certifucation ya hao mahakimu sijui akina nani
coz ht ukipeleka kwa huyo hakimu au wakili atakutafunia hela yako mwsho wa siku kwenye usaili vueti vinakaguliwa upya
hata mimi mwanzo nilikuwa nadhani hivyo nikaingia gharama
baadaye nikipopata ufafanuzi nikawa natuma bila kupeleka kwa hao wanaoishi kwa mihuri na nikaitwa kwa usaili bila kikwazo
hakuna cheti ambacho hakijawa certified... Kutoa kopy na kumpelekea mgonga mhuri kumpa hela NI MRADI MWINGINE WA KIFISADI
SIJAWAHI ONA TANGAZO LA KAZI LILILOFAFANUA KUWA WANATAKA UTOE KOPY NA KUCERTIFY NA HZO MAMLAKA WALIZOTAJA
WANACHOMAANISHA NI CERTIFICATION YA MAMLAKA ILIYOTOA CHETI AMBAYO INAONEKANA KTK VYETI VYAKO ORIGINAL
HIVYO KUANZIA LEO JAMANI mjue hili kuwa hakuna haja ya kuchosha akili kama hakuna ufafanuzi wa ziada.. Na matumizi mabaya ya fedha yasiyohitajika
kuna mamlaka kama HESLB hawa ndo huwa wanafafanua kwamba hakikisha kopy zako za vyeti zinakuwa certified na hakimu au wakili anayetambulika kisheria.
TUSIDANGANYANE HAPA kwenye ajira hamna hiko kitu coz wakati wa usaili vinakaguliwa..
ILA KAMA UNA HELA YA KUCHEZEA NA VYETI VYAKO UNA WASIWASI NAVYO PELEKA KWA HAO WATU UENDELEE KUWAPA RIZIKI ISIYO YAO ahahah