Recent content by gwang taek

  1. gwang taek

    JamiiForums Tanzania KHARUMWA POLICE POST kuna kesi za mchongo wanazobambikiwa watu

    Mkoa wa Geita wilaya ya nyan'gwale kata ya KHARUMWA kuna kituo cha polisi pale. Watu wa Takukuru kama wanataka uwajibikaji mzuri kwa hiki chombo cha Dola .. Basi waende pale kufuatilia kesi za mchongo wanazobambikiwa wasukuma wakazi wa nyan'gwale😭 Kile kituo wanathamini pesa na umaarufu wa...
  2. gwang taek

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ananipenda sana!

    Jinga ww
  3. gwang taek

    JamiiForums Tanzania Kuna mikoa au wilaya Tanzania kusikika labda kuwe na tukio kubwa

    Alafu ni jf expert member🤣
  4. gwang taek

    JamiiForums Tanzania Kuna mikoa au wilaya Tanzania kusikika labda kuwe na tukio kubwa

    Wakati mwingine tumia limao ukinywa kvant CCM ndio wamekwambia kuna mkoa wa mafia?
  5. gwang taek

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya Mazingira kwenye miradi mikubwa, maeneo yanageuzwa dampo

    Hii CHAMWINO nyumbani kabisa hapa kwa mzee Kiwamba 🤔
  6. gwang taek

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa Sehemu nzuri ya utalii Morogoro na Arusha

    Achana na Arusha hakuna mpya huko. Nenda morogoro kule choma water fall,udzungwa, mikumi,selous na milima ya tao la mashariki uta enjoy
  7. gwang taek

    JamiiForums Tanzania Vin Nkolomboka: Kinywaji Halisi Nguvu ya Simba

    Hayo ni mataputapu yenye ladha ya mitishamba 🤗
  8. gwang taek

    JamiiForums Tanzania Hili la Diamond kujihakikishia kuwa atakuwa tajiri namba moja duniani linaashiria nini katika ulimwengu wa giza?

    Kwanza kabisaaa kuzungumzia ndoto ya kidume mwenzako ni uchokoland na kuwashwer
  9. gwang taek

    JamiiForums Tanzania Hili la Diamond kujihakikishia kuwa atakuwa tajiri namba moja duniani linaashiria nini katika ulimwengu wa giza?

    Akili za vijana wa.... See more........ Jinga ww
  10. gwang taek

    JamiiForums Tanzania Kijana aliyetelekezwa na mke siku ya harusi atunukiwa tuzo ya mwanaume bora wa mwaka na Waziri Gwajima

    Dr mimi binafsi napitia changamoto kubwa zaidi ya kunyimwa unyumba na my wangu Kwa miezi 10 sasa, na sijawahi kuchepuka🙃 je natengenezewa tuzo gn ndugu mh???
  11. gwang taek

    JamiiForums Tanzania Maisha bila Mungu yamekuwa ya amani na furaha

    Ww Ndio mwehu ila hujijui tu
  12. gwang taek

    JamiiForums Tanzania Maisha bila Mungu yamekuwa ya amani na furaha

    Swali la kin'gombe hili
  13. gwang taek

    JamiiForums Tanzania MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

    Huyo Demu alitekwa na akaingizwa kwa nguvu kwenye hilo gari la Mheshimiwa mla tigo???? Tuanzie hapo
Back
Top Bottom