Recent content by GwamahalaJR

  1. GwamahalaJR

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Tumeshawaandalia vya kujifutia machozi [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23]
  2. GwamahalaJR

    Dark days 17/03/20...

    Kumbe hujui mchele mkuu. Pole
  3. GwamahalaJR

    Dark days 17/03/20...

    Kahama kuna super? Mchele super nchi hii unapatikana Mbeya tu, Kyela basi! Huko kwingine kote ni second grade mchele.
  4. GwamahalaJR

    Dark days 17/03/20...

    Afadhali...maana hali siyo hali
  5. GwamahalaJR

    Dark days 17/03/20...

    Endeleza basi mkuu...alosto inatuuwa, kila saa tunachungulia...
  6. GwamahalaJR

    Dark days 17/03/20...

    ... take your time ili ushushe kitu cha kusuuza mioyo ya hawa wananchi!
  7. GwamahalaJR

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Hakika aisee...
  8. GwamahalaJR

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kipigo cha mbwa koko...
  9. GwamahalaJR

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Kipigo cha mbwa koko...
  10. GwamahalaJR

    Nataka kuoa albino

    I agree with you 100% Zamani hizo za awamu ya mwisho ya Nyerere na awamu ya kwanza ya Mwinyi, nilishawahi kufundishwa na mwalimu asiyeona. Yeye hata harufu na hatua za muondoko wako alikuwa anaweza kukufahamu mwanafunzi wake.
  11. GwamahalaJR

    Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

    Ndoa kama ndoa siyo mbaya, ila baadhi ya wanandoa ndiyo wabaya kwasababu ya matendo yao.
  12. GwamahalaJR

    Usifanye haya Mambo unapodeal na mwanamke kama hutaki wakupande kichwani, kinyume na hapo mtalia sana Jamaa zangu!!

    Mwache apige decibels za kutosha...ha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  13. GwamahalaJR

    Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

    Mke tarehe 19 September Mume tarehe 31 July Tiririka hapo Mkuu Rakims. Natanguliza shukrani nyingi.
  14. GwamahalaJR

    Nina elements za kuwa 'genius' lakini mazingira magumu yaliniharibu

    Ha ha ha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  15. GwamahalaJR

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Ya Morocco vs Belgium je? Argentina vs Mexico? Brazil vs Serbia?
Back
Top Bottom