Kweli mambo huenda yakabadilika, huyu jamaa alikataa kuwaongezea mikataba watumishi wengi kama alikua Clark of works, msemaji wa mamlaka, madereva wawili ila mmoja mahakama ilimrudishaa, IT Manager. Sasa yeye kama aliona mazuri why hataki kuzika a. Na ana kibaraka wake Rube Luhongole alikua...