Recent content by Gwachupa

  1. Gwachupa

    JamiiForums Tanzania Fahamu vitu ambavyo ‘Sex Dolls’ wanaweza kuvifanya

    Umesema kweli. Mwisho umefika. Maana Mungu aliumba, sasa mwanadam naye anataka onesha pia anaweza nae kaamua kuunda
  2. Gwachupa

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Komba mgeni...

    Mkuu tupe na sisi
  3. Gwachupa

    JamiiForums Tanzania NECTA yatangaza matokeo ya darasa la nne na kidato cha pili, 2017, 51,807 wakwama kuendelea kidato cha 3

    Mkuu hata mimi nashangaa nimeingilia link hiyo hiyo nikayaona. Ajabu mwingine kaniomba nimuangalizie sasa hivi tena imegoma. Sijui kuna tatizo gani
  4. Gwachupa

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Komba mgeni...

    Duuuh.! Huu wimbo sijawahi kufanikiwa kuupata na ninautafuta sana mkuu. Nilijua labda kuna mtu kaupata hapa
  5. Gwachupa

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Komba mgeni...

    Jamani huu wimbo wa mgeni hakuna aliyeupata? Nautafuta sana.
  6. Gwachupa

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Sitaongeza mishahara kwa Watumishi wa Umma mpaka uzalishaji uongezeke

    Wewe kweli jina linasadifu kwakweli
  7. Gwachupa

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa kina juu ya (vyeti) elimu ya Makonda

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] ukute ni mmoja wa watoto wa kizazi cha cerelac na maziwa ya kopo mkuu
  8. Gwachupa

    JamiiForums Tanzania Hapa ndipo nashindwa kuwaelewa wanaume

    Hao unaokutana nao ndiyo wale wanaitwa "sanduku la maoni"
  9. Gwachupa

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, mimi kama Mtanzania nakuomba Radhi

    Hapa napata shida kujua kama ni kweli huo ujumbe unaohisi umefika kwamba ni kweli umefika. Mi naamini huna ulichofikisha. Ulitakiwa ueleze huo ukweli watu wasioujua ambao ndiyo sababu hasa ya watu kuwa na mitazamo hasi. Hata mimi ningesema kweli umefikisha ujumbe
  10. Gwachupa

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, mimi kama Mtanzania nakuomba Radhi

    Hekima nzuri ni kuwaeleza watu nao waujue huo ukweli ulioujua wewe
  11. Gwachupa

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, mimi kama Mtanzania nakuomba Radhi

    Nimesoma hii kitu vizuri kiasi chake lakini nimegundua wewe hutaki watu ambao wana mtazamo hasi juu ya Rais wetu mpendwa wamtazame kwa mtazamo chanya kama wewe ulivofanya. Ungetaka watu pia wabadilike ungewaeleza hayo mambo yaliyo nyuma ya pazia uliyoyaficha. Vinginevyo watu watakushangaa. I...
  12. Gwachupa

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kuna mapenzi ya kweli kwa huyu mwanamke?

    Ameshasema hawezi kuwa na mwanaume ambaye hana uwezo wa kumsaidia akiwa na shida ambazo hazitoagi taarifa. Zinakuja tu ghafla (Dharula). Kweli hapa mkuu unahitaji kuthibitishiwa kuwa hakupendi au anakupenda? Ni wazi kuwa huyo hana mahusiano na wewe ila na pesa.
  13. Gwachupa

    JamiiForums Tanzania Diamond kamuomba Gwajima yaishe

    Mwenyewe anakwambia single touch, double manifestation[emoji1] [emoji1]
  14. Gwachupa

    JamiiForums Tanzania Diamond kamuomba Gwajima yaishe

    Huyu alikuwa anajaribu kumkumbatia nyuki. Na uzuri au ubaya wa askofu Gwajima kabla hajakuzungumzia anaanza kutoa historia yako fupi kwanza. Ili kusudi mumuelewe mtu vizuri. Sio mbaki na sintofahamu. Hapa angeanza kuongelea ukoo wake kwanzaa alafu ndo amshushe yeye kama yeye
  15. Gwachupa

    JamiiForums Tanzania Hivi zile 'couple' za vyuoni huwa zinaishia wapi?

    Hizi ndoa mi huwa nahisi ni mahususi kwa kuchukua shule ya maisha ya ndoa na pia kurahisisha maisha. Ila wachache huwa wanafanya kweli
Back
Top Bottom