Recent content by guva

  1. G

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM walazimishwa kwa nguvu kuingia bungeni kumnusuru Tulia Ackson

    Hiyo barua haisomeki vizuri maandishi yanafifia
  2. G

    JamiiForums Tanzania Zoezi la kufungia Simu ni kama lishafeli kabla halijaanza

    Sasa kama wamekupa jibu sahihi unarudia tena unataka nini maana yake huamini majibu waliyokupa ulichokitaka umepata
  3. G

    JamiiForums Tanzania Upimaji wa ufaulu wa mwanafunzi na udhaifu wake

    Sintofahamu Sekta ya Elimu Kwa muda mrefu sasa sekata ya elimu imepita katika changamoto nyingi sana kama vile; 1. Kukosekana kwa mfumo rasmi wa viwango vya ufaulu kwa shule za sekondari. Kwa mfano alama A kwa kidato cha nne sasa inaanzia 75% hadi 100% na kidato cha sita ni 80% hadi 100%. 2...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Viongozi CHADEMA wazuiwa kuingia ofisini Shinyanga

    Hata me naona wafute vyama vingi ieleweke kuliko haya wanayotenda
  5. G

    JamiiForums Tanzania Viongozi CHADEMA wazuiwa kuingia ofisini Shinyanga

    Mmhh kweli mkakati walionao mkali lakini mwisho wa ubaya aibu
  6. G

    JamiiForums Tanzania Zitto na vibaraka wenzio acheni siasa tu!

    Jua kuwa waliomchagua ni wasomi sio vilaza na anawakilisha wasomi na wasomi wamekubali kuwakilishwa na zito
  7. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya, michepuko ya mwendokasi ni aibu!

    Yawezekana wanawake wa kenya hawawafikishi kileleni[emoji1] [emoji1] [emoji1]
  8. G

    JamiiForums Tanzania Mikutano yote ya Kisiasa nchini, yapigwa Marufuku! kuanzia 07/06/2016 hadi usalama utakapotengemaa

    Wanaojua sheria tujuzeni tafadhali
  9. G

    JamiiForums Tanzania Mikutano yote ya Kisiasa nchini, yapigwa Marufuku! kuanzia 07/06/2016 hadi usalama utakapotengemaa

    Huwa wanaamua tu kuzuia mkusanyiko wakisingizia intelegensia wakijua hakuna awezae kuhoji intelegensia
  10. G

    JamiiForums Tanzania Sakata la kung'olewa Naibu Spika: Kinana akutana na wabunge wa CCM Dodoma kuokoa jahazi

    Hapa shida ni vyama ukipingana na chama unapokonywa ubunge wabunge wote hawapo huru wanatete chama badala ya wapigakura wao
  11. G

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa CHADEMA wazuiliwa Kahama, Mabomu yarindima kutawanya wafuasi

    Kweli democracy haipo nimeamini
  12. G

    JamiiForums Tanzania Trafiki waagizwa kukamata na kutoza faini magari kumi kila siku

    Wameagizwa na nani?
Back
Top Bottom