Mkutano wa CHADEMA wazuiliwa Kahama, Mabomu yarindima kutawanya wafuasi

MWAKATA KWETU

JF-Expert Member
Mar 25, 2015
562
319
Chama cha Demokrasia na maemdeleo kilikuwa kifanye mkutano wake leo hii mjini kahama mtaa wa CDT...mpaka muda huu gari la washawasha la jeshi la polisi na lile la matangazo liko mtaani.tutajuzana kinachoendelea
 

Attachments

  • IMG-20160607-WA0047.jpg
    IMG-20160607-WA0047.jpg
    36.3 KB · Views: 296
  • IMG-20160607-WA0046.jpg
    IMG-20160607-WA0046.jpg
    54.1 KB · Views: 256
  • IMG-20160607-WA0044.jpg
    IMG-20160607-WA0044.jpg
    26.8 KB · Views: 234
  • IMG-20160607-WA0045.jpg
    IMG-20160607-WA0045.jpg
    25.7 KB · Views: 231
  • 13394132_1272577962760107_9217608700269506741_n.jpg
    13394132_1272577962760107_9217608700269506741_n.jpg
    43.5 KB · Views: 244
  • 13343145_823513401082573_7971040571817865300_n (1).jpg
    13343145_823513401082573_7971040571817865300_n (1).jpg
    18.2 KB · Views: 229
heading na kilichomo ndani tofauti, wewe si umesema wamezuiliwa kumbe huna taarifa za kutosha
 
Kwa magari ya washawasha jeshi letu limejitahidi sana, sasa ngoja utokee moto uone jeshi letu la zimamoto, hapo ndiyo utajua vipau mbele vya Serikali yetu


Yaani badala ya kununua zana za kuokoa maisha ya watu wao wananunua zana za kuumiza na kuulia watu
 
wamezuiliwa!!!! mleta maada ebu tulia ulete habari iliyokamilika mbona mimi niko hapa mkutano unaendelea kama kawaida!!!
 
Mkutano unaendelea kama kawaida, na kibali kilishatolewa.

Kwamba, mida ya saa nane polisi wakiwa na Magari washa, walizingira uwanja wa Mkutano hapa CDT, na baadae waliondoka na kuanza kurandaranda mitaani.

Mkuutano unaelea na tupo live RADIO FARAJA, na Radio Kahama FM.

Hakuna Kulala Mpaka Kieleweke...
mkuu,naomba frequencies ili ni itune redio yangu,plz?
 
Back
Top Bottom