Recent content by Guse

  1. Guse

    Hivi kwanini Africa isiungane tuwe moja? Mbona litakuwa jambo zuri mno!

    Fatima binti Hemedi Unchokisema ni sawa kabisa ila kuamsha morale ya waafrika na watu bila kukata tamaa katika kusukuma gurudumu hili we need people like imhtope wanaojua real historical background of African continent, mtu akishajijua alikuwa na uwezo kias gani hapo nyuma itasaidia kumfanya...
  2. Guse

    Hivi kwanini Africa isiungane tuwe moja? Mbona litakuwa jambo zuri mno!

    Hiki ndo huwa ninachokijua tutakimbiza kinyama
  3. Guse

    Story behind your date of birth

    Hahahaaaaaaa mim hapana 23rd ila wa 6
  4. Guse

    Kwa picha: Ufahamu kuhusu Ulimwengu

    Very interesting science
  5. Guse

    Kama simu yako ni original chora huu mstari

    ___________________
  6. Guse

    Kwa picha: Ufahamu kuhusu Ulimwengu

    Naomba unitag mkuu Illakwahhi kwa mambo mazuri kama haya
  7. Guse

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kariakoo mkuu 20m x 20m ni 3bn tsh mitaa ya Livingston hapo hujaenda msimbazi mkuu
  8. Guse

    Kama simu yako ni original chora huu mstari

    Siwez japo nshaset asee
  9. Guse

    Kama simu yako ni original chora huu mstari

    ___________________
  10. Guse

    Uhalisia wa taifa la Israeli

    Waarabu Misri wameingia mwaka 1200 Mkuu. Many deeds have been done by Blacks
  11. Guse

    Rais Magufuli amemtuma Mwanasheria Mkuu kufuatilia Bombadier Canada

    Hahahaaaaaaa sasa kwann hawakutumwa wazee wa kazi aka wasuojulikana maana sheria hawajui?[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
  12. Guse

    Rais Magufuli amemtuma Mwanasheria Mkuu kufuatilia Bombadier Canada

    Hahahaaaaaaa nimechka kwa sauti
  13. Guse

    MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

    Kwani Mungu ni wangapi mkuu? Sent from my HUAWEI GRA-UL10 using JamiiForums mobile app
  14. Guse

    Lissu: Makampuni yaliyotunyonya tangu 90's hayapo kwenye sheria ya madini

    Tundu Lisu hatakiwi kuonekanika hata anazungumza maana Ngosha wa Chato atashindwa kula hela zake kilaini.... Kwa ufupi angalia kilichomkuta mkuu wa mkoa wa Mwanza sahiv kisa kufatilia miradi ya wakubwa kupitia Bashite
Back
Top Bottom