Recent content by Gurudumu

  1. Gurudumu

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja maeneo ya Kisota Kigamboni

    Natafuta kiwanja kwenye mradi wa serikali wa Kisota uliyopo Kigamboni. Ukubwa wa kiwanja uwe kati ya square meter 1700 hadi 2300. Kama unacho na unauza tafadhali jibu hapa na aweke namba yako ya simu nitakupigia. Tafadhali iwe ni ndani ya eneo Kisota lililopimwa na serikali tu
  2. Gurudumu

    JamiiForums Tanzania Chakula cha wenye AKILI: Kwanini Hawasemi tunapokosea, ila wako tayari KUTUPATIA FEDHA ZA BAJETI???

    Wanatuambia kila siku tunapokosea lakini sisi wenyewe ndio hatutaki kubadilika. Watawala wanafikiri kwa kutumia matumbo yao na wananchi hatutaki kuwawajibisha. Unataka hao wazungu wafanyeje? Siyo kazi yao kwa mfano kwenda bungeni kwetu na kuihoji serikali. Bungeni kwetu kuna mipasho, mbunge...
  3. Gurudumu

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Akili ndogo kutawala akili kubwa

    hotuba kama hizi zilitakiwa ziwe zinarudiwa na vyombo vya habari kila mara kukumbusha watanzania kwamba kuna watu wanayaona matatizo ya nchi hii na wanathubutu kusema ukweli
  4. Gurudumu

    JamiiForums Tanzania The Ponda Syndrome:- Kama Officially Sio Taifa La Wanafiki Basi We are Almost There!!

    Ndugu yangu Le Mutuz Hata sikujui na wala sijawahi ku comment kwenye thread zako. Kwa ujumla umeongea kijinga kama Pinda alivyosema wapigwe tu Nani alimpiga Ponda risasi? Kwa nini apigwe risasi mbele ya polisi bila polisi kumuona aliyepiga risasi? ujue bunduki siyo mshale Nani alisema mhalifu...
  5. Gurudumu

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kisutu yamwachia huru mtuhumiwa wa mateso ya Dr. Ulimboka

    Kama ni kweli DPP ameifuta kesi, kumlipa fidia inahusika. Hizi kesi za uonevu na kubambikia zimezidi. Lazima wanauzisababisha wawajibike
  6. Gurudumu

    JamiiForums Tanzania Watangazaji Redio UHURU na Gazeti la UHURU hawajalipwa Mishahara ya mwezi wa 7 mpaka leo...

    Mmefanya lipi la maana hadi mlipwe mishahara.
  7. Gurudumu

    JamiiForums Tanzania Uovu mkubwa CHADEMA, ni kuhusu vyanzo vya mapato!

  8. Gurudumu

    JamiiForums Tanzania Wassira: CHADEMA kufa ni Ngumu

  9. Gurudumu

    JamiiForums Tanzania Meya Arusha chukua uamuzi wa busara ujiuzulu

  10. Gurudumu

    JamiiForums Tanzania Red Brigade: Kikundi cha mauaji, watekaji, wamwagia sumu na "nchi kutotawalika"

    Hii mpelekeeni Tendwa na Saidi Mwema, wajiridhishe
  11. Gurudumu

    JamiiForums Tanzania Kila Kadi ya Simu ya Mkononi Kutozwa TShs. 1,000 Kwa Mwezi

    Unazungumzia Bunge la nchi gani?
  12. Gurudumu

    JamiiForums Tanzania Polisi Yazuia Maandamano Ya Chama Cha Wananchi(CUF)

    Akizungumza kupitia TBC1, mwenyekiti wa taifa wa CUF profesa Ibrahim Lipumba amesema amefurahishwa na barua aliyoipokea kutoka kwa Rais Kikwete kumuarifu kwamba kutokana na ugeni mzito atakaokuwa nao siku hiyo ambayo CUF imepanga kuandamana kuelekea Ikulu kuongea na Kikwete, Kikwete hataweza...
  13. Gurudumu

    JamiiForums Tanzania Wananchi wanabomolewa nyumba zao kwa usimamizi wa serikali. Nani mtetezi wao

    Vitendo vya kuboa nyumba za wananchi ili kupisha miradi ya wawekezaji vinaongezeka hapa Tanzania. Takribani kila wiki kuna taarifa za wananchi au mwananchi kubomolewa nyumba bila hata mali zake kuhifadhiwa. Kisha wanatelekezwa bila kupatiwa hifadhi yoyote. Hata wakilalamika, vyombo vya habari...
  14. Gurudumu

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya kutekwa, kuumizwa Kibanda hii hapa

    Imebidi ni google hii makala anayodai Kibanda kwamba ilimfanya akahama free media. isome utafakari mwenyewe Namuogopa Abdulrahman Kinana!
Back
Top Bottom