Sioni alichokisema/ sioni issues zaidi ya vijembe na mipasho dhidi ya ccm. Sasa kama si kuendeshwa na hisia kuna ujembe gani aliouonesha hapo sasa. Unadhani hayo mawazo au mipasho ya chaplin chaplin na vitabu vingine vya kusadikika. Sijaona point ya kututoa kwenye umasikini badala yake ni michapo tu. Nikupe mfano mzuri tu angalia au kumbuka budget speech ya suzan lyimo utaona au utasikia issues si hayo mambulula ya huyu mchungaji hewa
Umesikiliza kwa mtazamo hasi: kimagamba gamba!Hii video iko kwenye cm za wabunge wa ccm karibia wote na huwa wanaiwatch mara kwa mara hata mie nilirushiwa na mmoja wao.
Alichokisema rev msigwa kiliingia kwenye mifupa ya kila mtu aliekuwepo siku hyo bungeni na maono haya yataishi milele