Recent content by Guru Master

  1. Guru Master

    Nilivyomuona Yesu nachanganyikiwa, nashindwa kuelezea, lakini leo ngoja niseme liwalo na liwe

    Nimekuwa nikifanya tafakari sana za juu ya suala la Yesu. Nimefunguka pakubwa sana sina shaka hata kidogo juu ya Uana wa Mungu wa Yesu. Wengi wanapomfikiria Yesu wanajenga kichwani hisia za Picha na Sanamu za Mzungu flani hivi wa Ulaya au Marekani. Yesu hakuwa mzungu. Kihistoria na...
  2. Guru Master

    Upige konyagi,ushushie na karanga za kukaanga kisha upande kwenye kiuno cha mtoto wa watu,unaweza kushtakiwa ICC kwa uhalifu wa kivita

    Kabisa. Hawa ndo wale pia huwa hawawaki mpaka wafanywe kitu flani. Ni aibu sana mwanaume kuja andika maneno kama haya kwenye kadamnasi. Anakuwa boosted kisha anakuja jisifu. Kesho atakuja andika kuwa akigongwa au kuchomekwa waya kwa nyuma ndo naye ana simamima muda mrefu
  3. Guru Master

    Upige konyagi,ushushie na karanga za kukaanga kisha upande kwenye kiuno cha mtoto wa watu,unaweza kushtakiwa ICC kwa uhalifu wa kivita

    Madogo wa Kinondoni. Mnashakuwa mchekea mpaka mjiboost. Sisi wanaume hatuhitaji kunywa wala kula kitu.
  4. Guru Master

    Je nani kamuua Dickraka Mwamakula?

    Sishangai kwa askari kuandika maneno kama haya. Ni kawaida sana kwao. Wengi au asilimia kubwa wanakuwa na stress na depression.
  5. Guru Master

    Je nani kamuua Dickraka Mwamakula?

    Nyie askari huwa mnaelewa kitu basi? Hamna.
  6. Guru Master

    Yesu ndio anabaki kuwa "religious figure" bora kuwahi kutokea. Katika safari yake hakuagiza damu yoyote wala hakufanya figisu kuufikia umashuhuri.

    Alifundisha unyenyekevu na utu wema. Alijua wafuasi wake watateswa,kuumizwa na kuuawa.akawataka watangaze ukombozi, watangaze upendo. Wasirudishie jino kwa jino, jicho kwa jicho. Ili kutunza amani na kufundisha upendo.
  7. Guru Master

    Yesu alisema kuhusu yeye mwenyewe "from the horse's mouth" sasa we ni nani?

    Ni MATUMIZI MABAYA YA UBISHI KUBISHANA KUWA YESU NI MWANA WA MUNGU AU SI MWANA WA MUNGU. MUISLAMU AMINI YESU SI KITU CHOCHOTE, SI MWANA WA MUNGU, SI MUNGU SI ANYTHING. HIYO IBAKI IMANI YAKO MKRISTO AMINI UTAKAVYO KUWA NI MWANA WA MUNGU HENCE NI MUNGU MWANA NA ANA UWEZO. HIYO IBAKI IMANI YAKO...
  8. Guru Master

    Yesu alisema kuhusu yeye mwenyewe "from the horse's mouth" sasa we ni nani?

    Ni MATUMIZI MABAYA YA UBISHI KUBISHANA KUWA YESU NI MWANA WA MUNGU AU SI MWANA WA MUNGU. MUISLAMU AMINI YESU SI KITU CHOCHOTE, SI MWANA WA MUNGU, SI MUNGU SI ANYTHING. HIYO IBAKI IMANI YAKO MKRISTO AMINI UTAKAVYO KUWA NI MWANA WA MUNGU HENCE NI MUNGU MWANA NA ANA UWEZO. HIYO IBAKI IMANI YAKO...
  9. Guru Master

    Kristo Yesu hakuleta Dini ya Ukristo ila alileta Imani hii ambayo ni ngumu sana

    Hakuna ambaye amezungumzia dhehebu na biblia acha tu dhehebu hata Dini haizungumzwi sababu Yesu hakuleta Dini. Mafarisayo na Masadukayo walikuwa watu wa Dini na ndo walimuua Yesu.
  10. Guru Master

    Kristo Yesu hakuleta Dini ya Ukristo ila alileta Imani hii ambayo ni ngumu sana

    Mathayo 6:1______________ Angalieni msifanye wema wenu machoni pa watu, kusudi mtazamwe na wao; kwa maana mkifanya kama hayo, hampati thawabu kwa Baba yenu aliye mbinguni. 2 Basi wewe utoapo sadaka, usipige panda mbele yako, kama wanafiki wafanyavyo katika masinagogi na njiani, ili watukuzwe na...
  11. Guru Master

    Yanayonikuta London, Uingereza - Part 2

    Nadhani pia una tatizo la kisaikolojia. Rudi nyumbani. Na ukiwa sometimes na hilo tatizo unaona wenzio au wengine ndo wanakukosea wewe. Siyo wewe unakosea. Nimekusoma nimeona tatizo ni wewe una msongo wa mawazo. Na hilo kwa maisha ya Uingereza linawakuta wengi tu.
  12. Guru Master

    Anayeweza Tengeneza Maneno 3D au sticker za Chrome Metal

    Nahitaji mtu ambaye anaweza tengeneza maneno kwa umsmart kabisa ambayo yatakuwa 3D kama ambavyo watu walikuwa wanatengeneza number 3D. Mimi nahitaji maneno na font nitampatia Ama ambaye anaweza tengeneza stickers ambazo ni chrome metal. Please awasiliane nami kwa kuweka namba au kuni pm
  13. Guru Master

    Joram kiango vs Willy Gamba

    Shigongo??? Muwe serious kidogo.
  14. Guru Master

    Call Center ya Airtel Tafadhali acheni jambo hili

    Mmekuwa na tabia ya kuwapigia simu wateja. Binafsi ni mteja ambaye sipendi usumbufu kabisa. Calls zenu za kuniambia promotions sina interest nazo. Sitaki promotions Na pia nikihitaji kitu si kuna menu yenu na website? Sasa kwa nini mnipigie simu kila mara? Sitaki usumbufu line ni yangu na simu...
  15. Guru Master

    Prof Assad: Viongozi wetu wamefanana na Hadith ya Babu Paka ambaye alijifanya ni Mwema kumbe ni Ulaghai wa kuwatafuna Panya Kimya Kimya!

    Unafaham maana ya logic? Basi wala usipanic tujibishane kwa hoja. Usitokwe na povu dogo.
Back
Top Bottom