Chief Wingia
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 2,863
- 5,095
Askofu na marehemu wana uhusiano gani naona wote ni Mwamakula
Ni ngumu sana kutoa ujinga kwenye kichwa cha mpumbavu kama weweNyie askari huwa mnaelewa kitu basi? Hamna.
Magari ya polisi hayakidhi vigezo vya kubeba binadam ni magari ya mizigo ndo maana ukibeba abiria kwenye pickup unapigwa faini, ila polisi wanatumia magari hayohayo kubeba watuhumiwa , hayo siyo magari salama ni basi tu.Halafu hii kitu huwa nina hoji sana. Kwanini magari ya kubebea watuhumiwa yanakuwa yamekaa kama magari ya TANAPA kwaajiri ya kuangalizia wanyama mbugani?
Mtu anapakizwa kwenye gari kama kiroba cha mkaa?
Kwanini zitengenezwe gari maalumu za kubeba watuhumiwa wachache na wengi kwa wakati m'moja?
Gari za patrol kwanini zinakuwa ni defender? Gari zinatakiwa kuwa na mkao mzuri ambao utamuweka mtuhumiwa mazingira salama kwake na hata askari. Hivi hatuoni aibu tukitazama wenzetu mataifa yaliyoendelea?
Kwahiyo hakuwa under guard?Hakuna mtuhumiwa anaetakiwa kufungwa pingu na kamba kwenye nguzo ya gari, hiyo ni kinyume na utaratibu hairuhusiwi, pingu peke yake inatosha kwaajili ya usalama wa askari na mtuhumiwa pindi inapoweza kutokea ajali yoyote .
Kama inafanywa hivyo ni kinyume na utaratibu kwahiyo isihojiwe kwanini hakufungwa kamba kama vile ni utaratibu, kujirusha inawezekana ktokana na aina ya magari ya polisi yanayotumika ni magari ya wazi, na kuangukia kichwa pia inawezekana kama alikua kafungwa pingu za nyuma.
Nimenukuu mkuubro mshana utaratibu wa kumfunga mtu kamba kwenye gari nimehusikia kwako sijawahi ona, maana ikitokea ajali ni tatizo kubwa linalo weza gharimu maisha ya mfungwa
Sishangai kwa askari kuandika maneno kama haya. Ni kawaida sana kwao. Wengi au asilimia kubwa wanakuwa na stress na depression.Ni ngumu sana kutoa ujinga kwenye kichwa cha mpumbavu kama wewe
Taarifa rasmi au ? wamehitimisha.hiyo ni taarifa ya jinsi matukio yalivyotokea na haiwezi kubadilika. Wakati mwingine tuwe tunaziachia mamlaka.
Umewaza kama ninavyowaza, na unaweza kuta hakujirusha mwenyewe labda walimsukuma hao jamaa, hii ni hatari sana.Kuwa huenda alipewa kazi na baada ya kumaliza nao wamepita nae asije akasema yaliyo nyuma ya pazia.
Dogo kumbe ukitulia unatemaga madini na kushusha nondo kuntuHakuna mtuhumiwa anaetakiwa kufungwa pingu na kamba kwenye nguzo ya gari, hiyo ni kinyume na utaratibu hairuhusiwi, pingu peke yake inatosha kwaajili ya usalama wa askari na mtuhumiwa pindi inapoweza kutokea ajali yoyote .