MCCM hayapo arusha kabisa, siku monabani anahutubia kiwanja cha texi sanawari alikuwa na watu 17 tuu ikabidi daladala moja ikasombe ndugu zake wakafika kama 40 ndio akahutubia mkutano na huo mkutano ulikuwa pia uzinduzi wa diwani wa ccm kata ya sekei. Diwani wa sekei hadhubutu kufanya mkutano wa...
Viongozi wa ukawa wapo busy majimboni kuchukuwa na kurudisha fomu kuwania nafasi za ubunge na udiwani. Hilo ni jambo dogo kulitatua lisikupe pressure kamanda, tusubiri warejeshe fomu zao majimboni then hatua zichukuliwe. Ukawa ni mpango wa Mungu Hakuna wa kuuvuruga sasa.
huo utaratibu huku arusha CHADEMA tumeukataa kwa kutumia nguvu ya uma na wananchi wanaandikishwa vizuri. chezea lemw wee? Msikubali majina yaandikwe wala kujaza form mtu awahi kituoni na aandikishwe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.