Kwanini CCM wanamtumia mhalifu sugu Jumanne Mjusi?

Majambazi niwengi sana ccm diwani jastin nyari diwani wasongambele, alex massawe papa msofe,banjo, richard kigugumizi. wale waliotorushwa na ccm waliomchinja kiongozi wa cdm hasebu yao haina idadi.
 
achen aendelee na ccm yake. Kwan hamjui ccm wote ni majambazi? Kuna majambazi wa aina nyingi ila wengi ni wakalamu.
 
Nadhani ni mwaka 2008 aliwahi kwenda kujisalimisha bungeni akidai eti polisi wanataka kumuua. Sifahamu tokea pale alichukuliwa hatua gani au ndipo ndoa yao ilipoanzia. Ni jizi la hatari sana hilo.
 
Habari nilizopata kwa kijana mmoja jirani yake anasema huyu mjusi alinunuliwa pikipiki na ccm kwenye uchaguzi mkuu uliopita.sasa hivi anajifanya polisi jamii .
 
Chama cha majambazi. Chama cha mafisadi. Chama cha matapeli. Chama cha mauaji. Chama cha kila matakataka.
 
Hii iko jambazi dogo,naiba tv jumbani tu,baba ya taifa naiba majumba yote naandika msajili mbona nyie haoni?tanzania nyingi wizi nazani wazazi yenu napikia chakula transformer oil naharibu nyie hata toto dogo shuleni naibia ingine pencil.
 
mikono ya ccm haina baraka bali inanuka damu ya watanzania na ccm walaana kubwa sana kutoka kwa mungu
 
Inabidi kwa sasa wananchi watoe hukumu tuu kwani mahakama na policeccm wameshindwa kazi yao.
 
As long as there is dirty work ,there are always shady characters ready and willing to rough up your political opponents or vote in unpopular bills in record time - as long as the price is right.
 
Hivi yule mama Batilda Yuko wapi,nakumbuka swaga zake za vilemba na eloquence yake kwenye kujibu maswali na kutoa maelezo.
Hakupewa hata UDC?
 
leo arusha katika kata ya daraja 2 ambako kutafanyika uchaguzi wa nafasi ya udiwani Oktoba 28 kikundi cha Green Guard wa CCM waliwapiga wananchi waliokuwa wanaoonyesha ishara ya vidole inayotumiwa na chama cha CDM.Green Guard hao walioongozwa na Jambazi Sugu Jumanne Mjusi.

Mtu huyo anafahamika sana arusha kama jambazi sugu ambaye amehusika na matukio mbalimbali ya kihalifu na mauaji na rekodi zake ziko polisi na alinza kujiingiza katika siasa za CCM katika uchaguzi wa mwaka 2005 akiwa katika kambi ya mgombea ubunge wa CCM Dr.Batilda Burian.

Alitumika kuwatisha wapinzani wa Batilda na kukusanya taarifa mbalimbali hasa za waliokuwa wanampinga mgombea huyo na tangu wakati huo amejikita katika shughuli za kisiasa za CCM, na baadhi ya viongozi wa chama hicho wamekuwa hawapendezwi na hatua ya kumtumia mhalifu huyo wakidai kuwa ni kuchafua chama.

Je ni kwanini vyombo vya dola vimeshindwa kumchukulia hatua mtu huyo ambaye nahatarisha usalama wa watu wengine wanaopinga CCM?Je ni kwanini CCM inamtumia mtu ambaye hana rekodi nzuri katika maisha ya kijamii?

Nani msafi CCM.
 
Back
Top Bottom