Recent content by gundogan

  1. gundogan

    JamiiForums Tanzania Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

    [Hahahaha]
  2. gundogan

    JamiiForums Tanzania UKUTA ni Mkakati wa CHADEMA kuizuia Serikali isifanye kazi yake

    Mbona hawakusema tuandamane Siku sukar imepanda. Wanataka kutuchezea mind zetu Hawa wazee wa wall
  3. gundogan

    JamiiForums Tanzania UKUTA vs Arab spring: Zinafanana serikali isibeze inaweza kuwa na mwisho mbaya

    Tarehe 1 sept. Watu watakuwa kwenye mitandao na kuulizana VP wametoka au VP maana ss n wazur wa mitandao na sio kutenda. Pole sna wall.
  4. gundogan

    JamiiForums Tanzania Kiapo cha John Pombe Magufuli 5/11/2015...naapa nitalinda na kuitetea Katiba

    Katiba, ilikuwepo toka nazaliwa mpaka ss, matokeo yake ndo hapa tulipo, ebu tumuache kwanza aendeshe nchi kwa utaratibu mwingine tuone nae atatufikisha wap. Mnaonaje wadau. Ila kunawatu wa jamii forum siwaelew kabisa, mara siku yakuapishwa rais walisema hatumtambui, haohao leo wanasema rais...
  5. gundogan

    JamiiForums Tanzania Operation UKUTA: Hit n run tactic

    na nyie mtumbuen hyu
  6. gundogan

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atoa tafsiri mpya ya neno demokrasia!

    mwatoka povu, pole sana
  7. gundogan

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli yashamshinda?

    ata ww katka familia yako huwez walidhisha wote, wapo watakao hoji baadh ya maamuz yako kwa kukashfu au kupongeza. najua n kipind cha mpito wa uongozaj ila utafaham mantik, ila kumbuka uongoz wa "mchakato na bado tunayafanyia kaz " ndo umetufikisha hapa. kiongoz bora n yule anayefanya maamuz...
  8. gundogan

    JamiiForums Tanzania Kati ya Wanafunzi 7,805 waliofukuzwa UDOM, ni 382 tu ndio wenye sifa

    avunje mara ngap
  9. gundogan

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Rais Magufuli za kichwani zinakera, asome hotuba anayoandaliwa

    povu lakutoka
  10. gundogan

    JamiiForums Tanzania Wachumi na Wanasiasa Tusaidieni Tanzania Ilifikia Wapi ?

    kwa mawazo yangu naona kuna vitu viwili twaweza changanya. kuna uchumi kukua na uchumi kuendelea, kwa lugha iliyopanda ndege twasema( economic growth na economic development), mwananchi mmoja mmoja ananufaika pale uchumi unapoendelea na sio uchumi kukua. uchumi ili uendelee unaitaji shughuli za...
  11. gundogan

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif amaliza mazungumzo yake Umoja wa Mataifa Mjini New York

    hahahahahahaha
  12. gundogan

    JamiiForums Tanzania Acha muvi iendelee SERIKALI ya mazingaombwe(uchawi)

    saf kk kwa ufafanuz wako
  13. gundogan

    JamiiForums Tanzania Wanahabari tusitumike, nchi kwanza

    yatupasa kufikiri kwa kina, kila kitu uamuliwa kwa busara
Back
Top Bottom