Recent content by gulilaga kabeta

  1. gulilaga kabeta

    JamiiForums Tanzania Najiuliza maswali kuhusu Waziri Mkuu atakayetokana na UKAWA

    lissu ndie, kuna mwingine?
  2. gulilaga kabeta

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    hawezi kutaja hata kwa dawa
  3. gulilaga kabeta

    JamiiForums Tanzania Serikali kuajiri Zaidi ya walimu 35,000

    Nadhani mmmmmmh
  4. gulilaga kabeta

    JamiiForums Tanzania Ajila kwa walimu

    Utapata pressure bure subiri kimya kimya ayo mapost watu wanapost ovyo sehem ya serikari kusema ni kwenye magazeta na tv na radioni izo sio taarifa sahihi
  5. gulilaga kabeta

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu 2014/2015 ni majanga

    Wewe mwenyewe ni muhanga umesoma arts sema hapo unatafuta taarifa tuu
  6. gulilaga kabeta

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu 2014/2015 ni majanga

    Sijajua coz inamaelezo flani so isome tu
  7. gulilaga kabeta

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu 2014/2015 ni majanga

    Angalia chatguest fungua account taarifa utapata uko baada ya ajira kutoka zinatoka soon
  8. gulilaga kabeta

    JamiiForums Tanzania Jengo la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) lawaka moto

    Muongo wewe hii ni yombo 4 udsm au huvijui vyuo
  9. gulilaga kabeta

    JamiiForums Tanzania University of Dar es Salaaam: Mtambo wa kuzalisha wahujumu uchumi na mafisadi Tanzania

    Kama uyo mtoa mada anafikiri udsm mchezo akasome nae kama hajadico semister ya kwanza tuu
  10. gulilaga kabeta

    JamiiForums Tanzania University of Dar es Salaaam: Mtambo wa kuzalisha wahujumu uchumi na mafisadi Tanzania

    Mi naona ni visa tu apa mbona wengi waliosoma ud ni organic interlecho kama akina samwel sitta ;mwakyembe; zitto kabwe kwaninimsisifie awo kwanza ufisadi ni mtu binafsi sana na ukizingatia wote wamesoma elimu ya ujamaa na kujitegemea kama kuna mafisadi wamejifunza huko kwingine
  11. gulilaga kabeta

    JamiiForums Tanzania Tamko la Jumuiya na Taasisi za Kiislamu 11 kuhusu hatima ya Mahakama ya Kadhi na hali ya Amani

    Cha muhimu mimi naona wakristo tunao mjua mungu na kumwabudu tuendelee kumuomba mungu kwajiri yetu na watoto wetu ili tatizo limekaa vibaya sera ya siasa ya nchi yetu ilikua ni kuweka pembeni mambo ya dini so mkristo na mwislam tulikua sawa katika sheria moja lakini sasa ili ni tatizo katika...
  12. gulilaga kabeta

    JamiiForums Tanzania Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

    Wazee wanafanya kazi jamani tusubiri ajira zinakuja kila mwaka huwa zanatoka march
  13. gulilaga kabeta

    JamiiForums Tanzania Hivi Ndivyo Unavyoweza Kutajirika Kwa Kuanza Na Shilingi Elfu Moja

    hee iyo ni ngumu sana utajiri ni kujituma utakavyo sio mkusoma vitabu 500 mda wa kusoma ivo vitabu mkubwa kuliko wa kutafuta hela
  14. gulilaga kabeta

    JamiiForums Tanzania Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    sijui vyovyote
Back
Top Bottom