Recent content by Gulf Streamer

  1. G

    JamiiForums Tanzania Ipad3 16GB(white) and 64GB(black) for sale

    upo pande zipi mkuu?
  2. G

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa graphics na animation

    yani animation, rendering na kila kitu cha maya kwa kilo tatu tu????? unafundisha kwa muda gani labda?
  3. G

    JamiiForums Tanzania Haya sasa wapenzi wa media Dar es Salaam

    weka range ya bei mkuu, uturahisishie kazi. hata nisipoitaji mimi basi anayehitaji ntamtajia na bei. hasa ya CS6.
  4. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Napata wapi wazungu wanawake walio tayari kuolewa na Waafrika tuishi maisha ya ndoa ya Kikristo?

    я только с помощью переводчика , нахожусь в Танзании . Итак, вы в Украине или в России ? Humble African
  5. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Napata wapi wazungu wanawake walio tayari kuolewa na Waafrika tuishi maisha ya ndoa ya Kikristo?

    будет адвентистов принять переезд в Танзании ? cc Humble African Bcc above metal04
  6. G

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kupata mtaji wa kuanzisha biashara

    I doubt your needs maana hujaeleza mtoaji ela atapata faida gani, pia kama huna collateral una nini cha kuweza kuweka kama dhamana.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa Mtume na Nabii wa mwisho wa Soka

    nnaona haja ya kuzaa na demu wa kibrazil tutengeneze mesiah mmoja wa soka Tanzania milele na milele
  8. G

    JamiiForums Tanzania Mabilioni ya MCC: Tanzania 'kitanzini' March 28

    Mkuu, MCC hawana ujanja, hizo hela lazima wazidondoshe tu. Moja makampuni ya USA yana direct investments hapa nchini hasa kwenye upande wa UMEME (ie Dowans), gesi (ie. HALLIBURTON) na mengine mengi, matokeo ya uwekezaji wa hawa watu yanategemea ukuaji wa uchumi hasa maeneo ya vijijini ambapo...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Biashara gani naweza kufanya Mwanza?

    Nta ku pm mkuu nikifika huko
  10. G

    JamiiForums Tanzania Biashara gani naweza kufanya Mwanza?

    wazo zuri mkuu, ntalifanyia kazi. fursa nyingine ni ipi hapo Mwanza? Michael Chairman
  11. G

    JamiiForums Tanzania Biashara gani naweza kufanya Mwanza?

    Mkuu tambua tofauti iliyopo kati ya ujasiliamali na kufanya biashara. Jua tu sipo kwenye entrepreneurship, nataka fanya biashara kwa hiyo fedha iweze izunguke ikue. Fursa za entrepreneurship zipo hata hapa dsm, na nazifanyia kazi, ila nishazoea kujiongezea kipata, sasa hata huko nnapoenda...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Biashara gani naweza kufanya Mwanza?

    Kuna kuona fursa na kuambiwa fursa, what matters is profit in the business, pia kuona fursa ya eneo husika hutegemea namna gani unalijua hilo eneo vizuri.
  13. G

    JamiiForums Tanzania Biashara gani naweza kufanya Mwanza?

    vipi kuhusu real estates agents (kuuza, kupima na kupangisha?), vipi biashara ya kupokea watalii? kuna opportunities gani hapo malimbe? kuna opportunities gani ukerewe? kuna opportunities gani ukara? belionea GEITA FARM brenda18 kuuuu Tutor B mwenye shamba
  14. G

    JamiiForums Tanzania Biashara gani naweza kufanya Mwanza?

    duka la vipodozi litanitoa knock out mapema sana.
  15. G

    JamiiForums Tanzania Biashara gani naweza kufanya Mwanza?

    Nguruwe kilo wanauzaje machinjioni huko? Pia upatikanaji wake upo vipi kwa sasa? Maeneo gani ni mazuri kwa ufugaji wa nguruwe? Vipi wizi wa Nguruwe huko? GEITA FARM
Back
Top Bottom