Gulf Streamer
Member
- Aug 7, 2014
- 90
- 40
Nnatarajia kuanza maisha mapya Mwanza kama muajiriwa. Sasa nnataka jua naweza fanya biashara gani Mwanza kwa mtaji usiozidi 10 million?
Kuku wa kienyeji, bata n.kFuga Nguruwe
Ng'ombe Na MbuziKuku wa kienyeji, bata n.k
mbona ng'ombe na mbuzi ni wengi sana mwanza?Ng'ombe Na Mbuzi
Usitishwe Na Wingi Wao Hawa Viumbe Wanalika Kila Siku Na Soko Lao Liko Nje Njembona ng'ombe na mbuzi ni wengi sana mwanza?
nimekusoma kiongozi ... vipi kuhusu kondooUsitishwe Na Wingi Wao Hawa Viumbe Wanalika Kila Siku Na Soko Lao Liko Nje Nje
Wanunuzi Wa Kondoo Ni Wachache Ukiamua Kufuga Kondoo Usifuge Wengi Sananimekusoma kiongozi ... vipi kuhusu kondoo
MpungaGEITA FARM unajihusisha na kilimo gani hapo?
Tunatumia Mbegu Za Asili ... Tumekodi Mashamba Maeneo Ya ... Bulela ... Nyawilimilwa ... Na ... Kagu ...GEITA FARM unatumia mbegu za asili au hizi za kisasa?upo katoro,lwamgasa,geita au wapi hasa?
Nikipata mda niruhusu nije nikutembelee nijionee mwenyewe, naweza kujifunza kitu kilimo cha mpungaTunatumia Mbegu Za Asili ... Tumekodi Mashamba Maeneo Ya ... Bulela ... Nyawilimilwa ... Na ... Kagu ...
... Sawa ...Nikipata mda niruhusu nije nikutembelee nijionee mwenyewe, naweza kujifunza kitu kilimo cha mpunga
Fuga Nguruwe
fungua duka la vipodozi