Recent content by Guhoka

  1. G

    JamiiForums Tanzania Hamas warusha makombora Tel Aviv, Israel wapagawa

    Hii ni hatari sana
  2. G

    JamiiForums Tanzania Bila ugawaji wa dawa za ARV huu UKIMWI ungeshaisha miaka mingi sana

    Hakika. Hizi dawa zinachochea ongezeko la maambukizi. Zisingekuwepo watu wengi sana wangekufa na UKIMWI ungeisha.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Nimefika Tabora, nawaambia wanipeleke mjini wanasema ndio hapa tulipo!

    Waambie wakupeleke Oksjeni. Ndio mjini kati.
  4. G

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Walimu wa sekondari waliokuwa wakali sana kiasi cha kuwa maarufu hadi shule nyingine

    Kuna Mwl Cosmas Isaya Cosmas kutoka Malagarasi Secondary School 2010-2012. Ni balaaa, fimbo ni ngumi.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia: Tusichanganye Maadili ya Mtanzania na Imani za kidini. Lipi kosa la walimu waliosimamishwa kazi Kwa kucheza muziki? Warudisheni kazini

    Wana makosa gan walimu? Kama wimbo hauna maadili waufungie, maana unaweza kataza watoto wasiucheze shulen, wakaucheza mitaan ama nyumban, hapo unakuwa umesaidia nnn?
  6. G

    JamiiForums Tanzania Serikali ipige Marufuku Nyimbo za Dini ya Kikristo Baa

    Umeongea fact kabisa. Wokovu upo kwa ajili ya wenye dhambi jao walioko bar na si watakatifu walioko makanisani.
  7. G

    JamiiForums Tanzania EWURA: Soko la Mafuta liko Wazi hivyo Wafanyabiashara hujua Mapema kama Bei itapanda na kuamua kuficha Mafuta

    Wanapoficha, wao kama EWURA wanachukua hatua Gani? Aibu sana hiii
  8. G

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaweka malengo ya kumaliza UKIMWI ifikapo 2030

    Utakuwa hujamwelewa vzr. Kufikia mwaka 2030 tutakuwa tumesupress Kwa 95%
  9. G

    JamiiForums Tanzania Mchungaji kanisa la Wasabato Kahama afukuzwa

    Ni bwana Aeroplane/birds.
  10. G

    JamiiForums Tanzania Kahama JF wing nipo mjini kwenu tayari

    Karibu mkuu hapa the Magic 101
  11. G

    JamiiForums Tanzania Mchungaji wa kanisa la Wasabato Kahama na familia yake wasoteshwa rumande kwa kesi ya dawa za kulevya

    Nmeshamjua baharia huyu. Ni mwenyeji wa Bunda - Mara, ana kagari kake aina ya Suzuki.
  12. G

    JamiiForums Tanzania Mchungaji kanisa la Wasabato Kahama afukuzwa

    Ama ni nyasubi SDA?
  13. G

    JamiiForums Tanzania Mchungaji kanisa la Wasabato Kahama afukuzwa

    Mchungaji wa kanisa gani? Jina la kanisa ama mtaa?
  14. G

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

    Kwa mjibu wa biblia, siku ya ibada ni ipi?
Back
Top Bottom