Recent content by Gugugaga

  1. G

    JamiiForums Tanzania Barrick Gold Mining itamkabidhi Rais Magufuli Tsh 100billion

    pongezi sana JPM, hayo mawe ya Barrick pliz jenga SGR iende na Kigoma mwisho wa reli kulikozaliwa ubishi shoka ikaungua mpini ukabaki huko kwa watani zako . SGR ya Kigoma ni muhimu sana kuiunganisha nchi na maziwa makuu tujenge uchumi imara bila kumjali ZZK na chama chake, nasikia ZZK ni...
  2. G

    JamiiForums Tanzania GE2020 Leila Sheikh: Marekani wana kizabinazabina kwa matamko yao kuhusu uchaguzi wa Tanzania

    Leila ndo leo namsikia! kumbe bongo imesheheni waandishi makini! Dada yuko sahihi nani kutoka Afrika anaweza kuingilia uchaguzi wa US? watuache! Marekani inajitutumua tu haina maajabu tena kama zamani Rais wao amepona Corona juzikati wamwangalie huyo kwanza kisha wapambane na China kwanza...
  3. G

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hii inakatisha tamaa kwa Dkt. Magufuli

    sidhani kuna wa kumshinda kura! dua ya kuku iendelee! time will tell
  4. G

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu azidi kuumbuka, wananchi wanamuona ni msema hovyo

    mzungu kamwe hawezi kufurahia mtu mweusi kuendelea, utawala huu mabeberu wanahaha! wamejaa chuki rushwa imepungua uchumi unakua! kila beberu anatoa waraka ila boss kaweka pamba masikioni yuko bize kujenga SGR! mnyampaa nani kamuingiza chaka? level yake ni ubunge tu au udiwani! ni mgonjwa wa...
  5. G

    JamiiForums Tanzania European Parliament resolution on Tanzania

    mi nampongeza ni kweli ameandika kizungu cha kiswahili , yaani unaandika kiswahili then unaiweka kwenye kiingereza! the flower has opened !! utatafsirije? ua limefunguka au ua limechanua?!! mimi nimemuelewa but nimehisi aibu sana with his millions of grammatical errors! wakenya hutucheka sana...
  6. G

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni za Gwajima zatingisha Jimbo la Kawe, aenda kupiga kampeni kwa watoto wa chekechea darasani

    Siasa ni upepo! Jamaa akishinda nitachukia!
  7. G

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli kakataa treni ya umeme isifike Kigoma bali iende Mwanza?

    Mosi , pongezi ni muhimu kuwa na hiyo SGR Dar to Mwanza watangulizi wameshindwa, cha msingi wana Kigoma wasubiri SGR reli ikifika Tabora wapaze sauti kubwa kipande cha Tabora Kigoma kiwekwe pia SGR , huwezi kusema mizigo hakuna Dar to Kigoma kwa reli wakati miundombinu ni chakavu and old...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais Wa CCM Zanzibar Hussein Mwinyi Ashindwa Kutokea Kwenye Kampeni Bububu

    hivi Kijana mkakamavu na Mzee aliekongoroka na kuchoka mwili na akili na alieshindwa uchaguzi kwa miaka sitini tangu uhuru ukiwa na akili zako timamu unachagua yupi? hao wawili wakishindana kutimua mbio nani atashinda? wakishindana kick box nani ataua mwenzake? wakishindana kupiga kasia kutoka...
  9. G

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tarime: Tundu Lissu ampiga marufuku Kassim Majaliwa kufanya kampeni, Yadaiwa anavunja maadili ya uchaguzi

    sawa kabisa, ni ngumu sana kwa mbongo kupatia English kwa 100% everytime , kuna mahali lazima tunafeli! ni bora tusikosoane , tumuachie malkia lugha yake! kawaida yao kina Rooney adjective hufuatiwa na noun, mf the fastest car, the strongest man, the richest boy, the ugliest girl, the poorest...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Maji hakuna eneo la nyumba zinazozunguka Machinjioni Mwanza

    Kuna ndugu yangu anakaa Machinjioni Mwanza tulikuwa tunaongea nae kwa simu akasema huko kwao maji hutoka mara moja kwa wiki usiku wa manane siku usiyojua!! Nikasema hii kali maji hakuna bombani na ziwa viktoria limezunguka mji na maji hayana mwenyewe! Kweli umaskini ni akili si pesa!! Sasa watu...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Saba mbaroni kwa kutorosha Tanzanite ya thamani ya billion 7.2

    jambo kubwa kama hilo kudaka majizi ya madini yetu ni la kupongeza ila ikumbukwe balaa kama hilo likishafikia public na mkulu akasikia basi hakuna maigizo tena, hayo majizi yafungwe tu hakuna namna ila yabanwe yataje kwanza na majizi wenzao wote nayo majizi mengine yasakwe maana majizi kwenye...
  12. G

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu ulipaswa ugombee tena ubunge, kugombea Urais umepwaya sana

    sidhani kama Mnyampaa atashinda sababu ufahamu wa raia katika uchaguzi wa urais bado uko kwenye kiwango cha chama cha Mwalimu, usalama wao ni ajenda yao kuu moyoni!! Mnyampaa anajisumbua bure! bora abakishe pesa za kampeni zimfae baada ya uchaguzi!
  13. G

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Mwingira: Lissu ni mshindi, hajajenga flyover wala reli. Watu wanamfuata

    Sanduku la kura lina maajabu! watu watakuimbia, kukubeba na watasukuma hadi gari lako ila kura watapiga kwa chama chao!
  14. G

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume aondolewa kwenye orodha ya mawakili (Permanent removal), akutwa na hatia ya kukiuka maadili

    Duh! season one or two? nafikiri wangeweka wazi kila kitu sababu za kumuengua inapendeza zaidi nchi ya uchumi wa kati kuweka data mezani wenye akili wachambue if what was done is logical or emotional! umaskini ni janga!
  15. G

    JamiiForums Tanzania GE2020 Gambo ashiriki Shughuli za Kijamii; aonesha ustadi wa kuchagua mchele

    kampeni burudani sana! jamaa si mjinga! akimaliza kuchagua mchele na kujichotea kura za kina mama yoyoo kwa kuwaunga mkono sasa ataingia vijiwe vya boda boda na vibanda umiza kushabikia mpira na machalii za Ara akombe kura zao!
Back
Top Bottom