Marehemu ni wale wanaomshabikia Gwaji boyInabidi aje kwanza kukufufua wewe maana naona u marehemu wa akili
alisema ananunua treni mkashangilia
ananunua meli mkashangilia
ananunua ndege mkashangilia
kawaahidi kuwapeleka Marekani mkashangilia
kawaambia atamshinda Halima Mdee mnashangilia
Ndio maana mnahitaji ufufuo na uzima wafu nyie