Recent content by Gudboy

  1. Gudboy

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kike kutoka Diaspora. Aliyetari aje inbox

    Naona unatafuta fursa
  2. Gudboy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa Kiume wa kampuni ya Chloride Exide wavalia kama Wanawake kuadhimisha masuala ya Afya ya Wanawake

    Kwa nini wasibuni wazo jingine kuliko hilo?
  3. Gudboy

    JamiiForums Tanzania Utata katika maisha yangu

    Kuna rafikia yangu alikuwa na baba wawili. Mmoja alifariki akamwachia uruthi. Huyu wa pili akaendelea nae hadi alipofariki. Alinambia yeye akiambiwa huyu baba yako hakatai anaenda nao sawa.
  4. Gudboy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya na matukio ya ubakaji wa wanyama hususan mbuzi

    Noma sana
  5. Gudboy

    JamiiForums Tanzania Biashara ya salon za kiume na kike

    Biashara ingekua hivyo kila mtu angekuwa tajiri Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Gudboy

    JamiiForums Tanzania Kuhudumia Mimba

    Hahahaaa umesomeka vizuri sana mzee baba
  7. Gudboy

    JamiiForums Tanzania Kuhudumia Mimba

    Smart911 wa mahondaw asante kwa kufafanua zaidi.
  8. Gudboy

    JamiiForums Tanzania Kuhudumia Mimba

    Nashukuru sana. Hivi vitu nimegundua ni muhimu tuvihamu ili tuweze kutekeleza majukumu yetu.
  9. Gudboy

    JamiiForums Tanzania Kuhudumia Mimba

    Hongera sana mzee baba
  10. Gudboy

    JamiiForums Tanzania Kuhudumia Mimba

    Katoto kazuri nimefarijika na haya uliyoeleza kwa ufasaha. Kikubwa nilichojifunza ni kuanzia chakula, mavazi, malazi, afya, na upendo. Ila itategemeana na uwezo wa kifedha.
  11. Gudboy

    JamiiForums Tanzania Kuhudumia Mimba

    [emoji2] [emoji2] [emoji2] kama ushawahi kwenda mwaga maujuzi hapa mzee baba
  12. Gudboy

    JamiiForums Tanzania Kuhudumia Mimba

    Asante sana. Umeeleza vitu ambavyo sikuwa navifahamu. Bila shaka na wengine watajifunza hapa
  13. Gudboy

    JamiiForums Tanzania Kuhudumia Mimba

    Nimeanza kupata mwanga. Kwa hiyo mahitaji halisi sana sana ni misosi sio?
  14. Gudboy

    JamiiForums Tanzania Kuhudumia Mimba

    Wadau wa jukwaa hili bila shaka muwazima. Nina swali ninaomba kujuzwa. Je ni mahitaji gani yanahitajika kutolewa na mwanaume kwenye kuhudumia mimba? Kwa sababu kuhudumia mtoto inafahamika wazi mahitaji yake. Ninaomba kueleweshwa mahitaji yahusuyo kuhudumia mimba. Nawasilisha
  15. Gudboy

    JamiiForums Tanzania Dunia haina usawa

    Duh Shukrani sana. Hadithi inazidi kunoga sana
Back
Top Bottom