Mm nadhani atapitia huu Uzi na atasoma mawazo yenu. Kama atayachukua poa kama atayaacha Sawa pia maana anatamuka mambo mazuri ila hayatekelezi sasa bora anyamaze afanye surprise tu
Ni kweli kuna wakati tunapaswa kujifunza kwa machungu na kuwajibika kwa matendo yetu mabaya. Mm ckuwahi kuonewa popote wakati nasoma ila nachukia sana mtu anaeonea wengne kwa kuwa kuna ndg yangu alisha onewa nliumia sana
Kuna mijitu inaudhi sana achana nalo kitajifunza kadri shida zitakavozidi. Mtu anakusingizia unapiga wengne hipata ulemavu na huku mtaani husingizia watu mpaka wengne wanafia gerezani sipendi majitu yanayoonea wengne halafu yenyewe yanaomba excuses foolish Kabisa wewe liache. Ungefukuzwa Shule...
Ni uamuzi mugumu ila naamini hata hao wote walio juu walifanya maamuzi magumu mfano Nyarere Makamba,Magufuli na wengne wengi tu.mm nakupongeza na nakuombea Nina iman Mungu akikusaidia hata ukiuza viatu unaweza make life hakuna cha sijui uwe na million 10 wala moja sijui mtaji unaweza anzia Zero...
Naunga mkono hoja sio wastaarabu hata kidogo mfano wauza ndizi stendi na wengne wengi hawana aibu yaani inakera kiukweli wengi wao si wema sana japo si wote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.