Recent content by Guasa Ambonii

  1. G

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    kifupi hili kombe huwa ni la Madrid wengine ni wageni waalikwa
  2. G

    JamiiForums Tanzania Nyimbo gani zinaweza kurudisha mood yako sawa unapokuwa na msongo wa Mawazo? Your Inspiration songs?

    beat yake inachezeka vizuri sana ila ina maneno ya kukera sana
  3. G

    JamiiForums Tanzania Tangazo gani la biashara redioni au kwenye runinga uliwahi kulipenda sana?

    mama mpiji chuzi lote limenimwagikia
  4. G

    JamiiForums Tanzania Tuwaenzi wachezaji wa soka wa zamani na sasa

    Sebastian mwendamaka (mawazo Nelson )wakongwe watakumbuka sekeseke lake la kusajiriwa mara mbili
  5. G

    JamiiForums Tanzania The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    majirani hongereni ule msako uloufanya jana villa wataukumbuka milele
  6. G

    JamiiForums Tanzania FT: Ligi Kuu Bara | Azam FC 1-1 Simba SC | Uwanja wa Chamazi Complex | Mei 18, 2022

    Aliwaingiza choo cha mashoga kwa kauli yake hii
  7. G

    JamiiForums Tanzania Tangazo gani la biashara redioni au kwenye runinga uliwahi kulipenda sana?

    Waqt huo makampuni ya tritel na mobitel wakitoza kwa dakika hata ukiongea sekunde kumi wanatoza dakika sasa vodacom wakaja na utozaji wa sekunde na tangazo likawa kwa nini ulipe kingi wakati umetumia kidogo? lilikuwa murua sana ingawa vijana wa mjini walilibadilisha maana kwa kupelekea kuwa...
  8. G

    JamiiForums Tanzania FT: Ligi Kuu Bara | Azam FC 1-1 Simba SC | Uwanja wa Chamazi Complex | Mei 18, 2022

    yule kibu aliubada ule mpira
  9. G

    JamiiForums Tanzania FT: Ligi Kuu Bara | Azam FC 1-1 Simba SC | Uwanja wa Chamazi Complex | Mei 18, 2022

    yalikuwa ni mateso bila chuki
  10. G

    JamiiForums Tanzania FT: Ligi Kuu Bara | Azam FC 1-1 Simba SC | Uwanja wa Chamazi Complex | Mei 18, 2022

    azam ya msimu huu naifananisha na nyota nyekundu pilsner na sigara wale wakongwe kama mimi watanielewa jamaa walikuwa na game plan nzuri kwa mechi nne tu kwa msimu. nashukuru sisi tuliwapa nje ndani ila ki ukweli azam wameonyesha uwezo mkubwa ila hawakuwa makini kwa nafasi walizo tengeneza
  11. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini Europa Ligi nusu fainali ina mechi nne badala 2?

    inakuwa nusu na robo
  12. G

    JamiiForums Tanzania Historia ya samaki mtu imekaaje wakuu?

    hahaha!
  13. G

    JamiiForums Tanzania Private life ya mzee Mengi: Kumbe alikuwa anahonga wadada wengi wa mjini maelfu ya Dola za Kimarekani

    inategemea na upatikanaji wake jamani hizi zetu za mawazo khalafu tusiwe wachoyo kweli ndugu zanguni?
Back
Top Bottom