HAITOTOKEA: Msimu Pekee Ambao Yanga SC Ilikubali Kupoteza Ubingwa Ili Simba SC Asishuke Daraja

demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
8,250
15,116
Vijana wengi mtakuwa hamna kumbukumbu ya huu msimu.

Yanga ilikubali kufungwa na Simba mechi ya mwisho ili simba isishuke daraja na kwa kufungwa huko Yanga ikakosa ubingwa.

N.B kwa new school aka "soccer Google" nawakumbusha "zamani" game moja ilikuwa na pointi 2 ukishinda!

Upendo huu haujawahi kutokea na haitokuja kutokea tena.

Mtu na Mai Wake

IMG_0176.jpg
 
Baada ya mechi mashabiki wa Yanga walikasirika sana mpaka kipa Sahau Kambi akang'olewa jino..nilikuwa chalii lakini kumbukumbu hiyo ninayo manake pale nje ya uwanja yalikuwa yanarushwa mawe. Kipindi hicho kulikuwa na jamaa aliyetrend sana wa kuitwa Maumba.
 
Hapana sahau Kambi Hakung'olewa jino, Ile Mechi Simba wali shinda 2-1 Kwa mchongo.
Ule mpira aliofungwa sahau Kambi ulikua wa juu Tena haukua na Nguvu na aliruka pekeyake hakukua na forward Aliye mzonga. Chakushangaza akaushika ukamponyoka, John Makelele aliku hajaruka mpira ukamwangukia mguuni akafunga.
Mchezaji wa Yanga aliyeng'oka jino Kwa miaka Ile alikua Fred Felex Minziro alipigwq kiwiko na Husen Masha wa Pamba.
Nakumbuka siku ya mechi Minziro alikua anacheza lakini alikua amefiwa na Baba yake ila alicheza hivyohivyo na yalimkuta ayo masahibu.Baada ya Mechi alikwenda Bukoba kuzika.
Simba ilinusurika kushuka daraja miaka mitatu mfululizo 1987, 1988, 1989.
 
Umesema ukweli kuhusu minziro ila hukumalizia kuhusu mchango wa wanachama na kiasi kilichopatikana
 
Vijana wengi mtakuwa hamna kumbukumbu ya huu msimu.

Yanga ilikubali kufungwa na Simba mechi ya mwisho ili simba isishuke daraja na kwa kufungwa huko Yanga ikakosa ubingwa.

N.B kwa new school aka "soccer Google" nawakumbusha "zamani" game moja ilikuwa na pointi 2 ukishinda!

Upendo huu haujawahi kutokea na haitokuja kutokea tena.

Mtu na Mai Wake
Nijuavyo ni kwamba Yanga ilifungwa, haikuiachia Simba
 
Vijana wengi mtakuwa hamna kumbukumbu ya huu msimu.

Yanga ilikubali kufungwa na Simba mechi ya mwisho ili simba isishuke daraja na kwa kufungwa huko Yanga ikakosa ubingwa.

N.B kwa new school aka "soccer Google" nawakumbusha "zamani" game moja ilikuwa na pointi 2 ukishinda!

Upendo huu haujawahi kutokea na haitokuja kutokea tena.

Mtu na Mai Wake

View attachment 2230677
utopolo siku zote mkifungwa hamkosi sababu nilikuwepo uwanjani kwa mpira uliochezwa hakukuwa na upangaji matokeo hayo mengine ni kujifariji baada ya kufungwa
 
Hapana sahau Kambi Hakung'olewa jino, Ile Mechi Simba wali shinda 2-1 Kwa mchongo.
Ule mpira aliofungwa sahau Kambi ulikua wa juu Tena haukua na Nguvu na aliruka pekeyake hakukua na forward Aliye mzonga. Chakushangaza akaushika ukamponyoka, John Makelele aliku hajaruka mpira ukamwangukia mguuni akafunga.
Mchezaji wa Yanga aliyeng'oka jino Kwa miaka Ile alikua Fred Felex Minziro alipigwq kiwiko na Husen Masha
Vijana wengi mtakuwa hamna kumbukumbu ya huu msimu.

Yanga ilikubali kufungwa na Simba mechi ya mwisho ili simba isishuke daraja na kwa kufungwa huko Yanga ikakosa ubingwa.

N.B kwa new school aka "soccer Google" nawakumbusha "zamani" game moja ilikuwa na pointi 2 ukishinda!

Upendo huu haujawahi kutokea na haitokuja kutokea tena.

Mtu na Mai Wake

View attachment 2230677
Simba iligawanyika ikawa na timu 2, Nyota Nyekundu na Simba. Yanga ilifungwa tu kimchezo... Sahau Kambi wanamsingizia tu alijisahau kama ilivyokuwa kawaida yake.
 
Back
Top Bottom