Recent content by Gu-Chu

  1. Gu-Chu

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kukaa gerezani tupeane uzoefu wa mateso, msoto na vimbwanga

    Mkuu ukiupata pia naomba unitumie. Wana Jf wote kwa mwenye nao naomba anitumie tafadhali. Kuna mengi ya kujifunza.
  2. Gu-Chu

    JamiiForums Tanzania Serikali (NIDA) imefeli vibaya mno suala la vitambulisho vya taifa; kusubiri zaidi ya mwaka, vitambulisho vinapotea haviwafikii walengwa!

    Yaani hawa jamaa sijui kama mamlaka husika zinaliona tatizo lililopo kwa taasisi hii. WAFANYAKAZI WAO WAMESAHAU MAJUKUMU YAO WANAFANYA WATAKAVYO NA KUWAJIBU WATU HOVYO. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Gu-Chu

    JamiiForums Tanzania Serikali (NIDA) imefeli vibaya mno suala la vitambulisho vya taifa; kusubiri zaidi ya mwaka, vitambulisho vinapotea haviwafikii walengwa!

    Wafanyakazi wengi wa NIDA wana kauli mbovu kwa watu wanaoenda kupata huduma ofisini kwao. Jana nimefika ofisi za NIDA manispaa ya Moshi mjini zilizopo KDC lengo likiwa kuuliza kuhusiana na kitambulisho baada ya kutumiwa Ujumbe kuwa tayari kitambulisho kishagaiwa na kupewa NIN, lakini zaidi ya...
  4. Gu-Chu

    JamiiForums Tanzania Hakuna kazi ngumu kama Uanajeshi hapa duniani

    Kabisaaaa....
  5. Gu-Chu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazazi tu: imewahi kutokea ukakosa chakula kuilisha familia na ulifanya nini?

    Nimewahi seat Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Gu-Chu

    JamiiForums Tanzania Uliwezaje kufungia vyeti kabatini kisha ukajiajiri?

    Exactly mkuu... Kama kuna fursa anaiona kwa sasa baada ya miaka hiyo mitatu itakua ishaota mbawa... Kama anauwezo wa kuifanyia kazi bhasi wakati wake ni sasa. Hiyo fursa haitomsubiri amalize chuo...
  7. Gu-Chu

    JamiiForums Tanzania Wale ambao tangia ujiunge na jamiiforums hujawahi kutumiwa MSG tukutane hapa..

    Mkuu hyo PM naonaga tu raia wa JF wakiitana lkn Mimi cjawahi itwa wala kumwita yeyote. Cpajui PM[emoji28]
  8. Gu-Chu

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Wasemaji wa Polisi kuna la kujifunza hapa, mlisema Dkt. Shika si chochote si lolote ni wa kupuuzwa!

    Mkuu unashangaa wakati amesema hilo ni tone la kwanza tu? Bado mvua haijaanza kunyesha.... TUTAELEWANA TU:D:D:D:D
  9. Gu-Chu

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Wasemaji wa Polisi kuna la kujifunza hapa, mlisema Dkt. Shika si chochote si lolote ni wa kupuuzwa!

    Sio nyingi ni kidogo tu kama dola za Kimarekani millioni 60. Tone la kwanza la mvua maana mvua yenyewe haijaanza kunyesha.
  10. Gu-Chu

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anajikojelea kitandani

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  11. Gu-Chu

    JamiiForums Tanzania Uchawi niliowahi kufanya nikiwa sekondari

    We jamaa ni hatari..... Nethekie avae
  12. Gu-Chu

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Hyo ni mpya au used? Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
  13. Gu-Chu

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Mkuu lg smart tv inch 42 inapatikana? bei yake ikoje?
  14. Gu-Chu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wale tuliopitia changamoto za kulelewa na ndugu tulipata changamoto gani?

    [emoji23]
Back
Top Bottom