Recent content by Gs-300

  1. Gs-300

    Beating the Drum on One Side: Confusing the People on Both Sides

    Kutokana na ideology background yake, yeye Bwana Hirji Fk hawezi/hathubutu hata siku moja kuwa balanced,proportional and/or impartial/objective kwenye views zake za aina yoyote ile! Hata shughuli zake nyingi za statistics pia zina utata kadhaa!...labda kwa wale wasomfahamu uzuri ndo ati...
  2. Gs-300

    Beating the Drum on One Side: Confusing the People on Both Sides

    Bwana Hirji FK aka "Professor", Tafadhali fanza kila uwezalo uje hapa kukabiliana na Nguli mwanzio Historian Dr Said M...maana nakhis yeye yutayari kukupa majawaba dhidi ya Crtique yako, hapa hapa mbele ya kadamnasi ya JF! Lakini lazim uhakikishe yakua, upo Verified User yaani kama alivyofanza...
  3. Gs-300

    Beating the Drum on One Side: Confusing the People on Both Sides

    Niwia radhi Kakangu, Narakabisha kiduchu...Professor Nguruvi3 ni Mbondei wa Kicheba! Tafadhali kifurusika, basi watake radhi ndugu zetu wa Kisambaa kwa kuwanasibisha na huyo Nguru wa Kicheba! Ahsanta sana.
  4. Gs-300

    Beating the Drum on One Side: Confusing the People on Both Sides

    Mkuu Udadisi, Nimekusoma ndugu yangu na nimejaribu kukufahamu, pia nafarijika mno kukusikia baada ya kitambo. Ni kweli naliadimika takriban miezi mingi kiasi hapa JF...yaani nimekinzwa mno na majambo ya kibaruani na Family. Tuwiane radhi na tuko pamoja Kaka! Mie sijasema popote pale yakua ati...
  5. Gs-300

    Beating the Drum on One Side: Confusing the People on Both Sides

    Shukran Kaka na tuko pamoja kwa saana! Nimekusoma na nimekufahamu kwa utuvu mwingi mno, japo Bwana Hirji asipofanza tahadhari basi aezageuka yakua Professor of comedy....yaani mtaalamu wa dhihaka na mas'khara!? Daah! Teeh! Teeeh! Yaani ukasoma kwa undani ile critique ya huyu mwanataaluma Bwana...
  6. Gs-300

    Beating the Drum on One Side: Confusing the People on Both Sides

    Mkuu Col Ngongo! Za masiku Kamanda!? Remote na Kadoda nao wawapi, maana kitambo sijawatia machoni!? Na Maalim Mzito Kabwela bado yuhai!? Teeeh! Teeh! Mkuu tafadhali hizo lugha za Islamophobia jaribu kumuachia Nyakageni na genge lako...weye bado una staha yako ndani ya mioyo yetu, japo kiduchu...
  7. Gs-300

    Beating the Drum on One Side: Confusing the People on Both Sides

    Dr Hirji KF, I read with sadness your cheap argument/critique. But, more importantly, you too admitted that Dr Mohamed Said writings are not missing crucial facts! I also noticed with horror your absurd comparison of unrelated phenomena, historical facts and/or triangular injustices!? Daah! I...
  8. Gs-300

    DOKEZO Familia ya Rais Kikwete yahusika ufisadi wa ESCROW

    Mkuu Hishma yako! Huyo kijana Yeriko Msambila aka "Yericko Nyerere", basi hata kama akiweka hizo "nyaraka" zake kama ulivyomtaka/ulivyomwomba...bado pia ni mashaka na mughali kuaminika! Kwa kifupi, huyu kijana ni muharibifu/mchafuzi tu wa mazingira...yaani anaishi tu mjini kwa kutumiwa...
  9. Gs-300

    Kitabu maarufu: 'Kwaheri ukoloni, kwaheri uhuru,' kimewasili Tanzania

    Huyo ni Mtanzania khalis kwa asili... na O'Level alisomea pale Tanga Popatlal Sec School. Kwa kifupi, huyo ni ndugu yetu Mtanzania mwenye asili za pale Tanga na Unguja! Nafikiri amejaribu kujipambanua asili yake ndani ya hicho kitabu chake. Shukran sana Mkuu, na nakutakia siku njema.
  10. Gs-300

    Hotuba ya Rais Kikwete ya Mwisho wa mwezi Julai, 2014

    Mkuu JokaKuu, Shukran mno kwa kuni-tag...na bayana zako zoote huwa nazisoma kwa umakini,na huwa najaribu kuzifuatilia kwa namna zangu!...maana zinaniilimisha/"zinanizindua" kwa mangi!? Daah! Kwa hiyo,unionapo kimya au nasita kuchangia...yaani huwa najaribu kutumia hikma/tahadhari ya...
  11. Gs-300

    Swali la Ugomvi: CCM Inaweza Kutoa Mtu Anayeweza Kumzidi Kikwete?

    Mkuu FaizaFoxy...bado nakusoma kwa utuvu ulo mwingi! Hilo neno alotumia la ati "Uswahili"!?...sidhani kama atamudu kukupa jawaba "stahiki"!? Na hizo alizoziita "security apparatuses"/structures anakusudia zipi!?...labda pia awe specific,ili pia tunyambue kiundani!?...na kwanini amma kwa...
  12. Gs-300

    Swali la Ugomvi: CCM Inaweza Kutoa Mtu Anayeweza Kumzidi Kikwete?

    Mkuu JokaKuu...nimekusoma hiyo bayana yako kwa Mwanajamvi mwanziwetu Mkuu Jumababu! Yaani menifanza nicheke mno...kwa hiyo livyosema yakua ati...."ati umeruka mavi na kukanyaga uharo"!? Duuh! Teeeh! Teeeh! Teeeh! Pole sana Mkuu...ndo siasa zetu hizo na hao ndo Wanasiasa tulojaaliwa nao...labda...
  13. Gs-300

    Swali la Ugomvi: CCM Inaweza Kutoa Mtu Anayeweza Kumzidi Kikwete?

    Mkuu FaizaFoxy, Shikamaa! Nakhis weye wamfahamu uzuri mno huyo "kijana" Mwanakijiji wa Chadema!? Yaani umepiga yale "mapigo matakatifu" kule kule alipokusudia kutaka kwenda kwa kutumia njia za vichochoro na vitendawili/mafumbo yaso ndari!? Duuh! Teeeh! Teeeh! Teeeh! Mkuu Jumababu...nawe pia...
  14. Gs-300

    Swali la Ugomvi: CCM Inaweza Kutoa Mtu Anayeweza Kumzidi Kikwete?

    Mkuu FaizaFoxy, Mie binafsi bado nakusoma, yaani hujanisha hamu! Teeeh! Teeeh! Ndo maana mie nikawaaambia hawa jamaa zetu hapa...je huo "ubaya" wa Rais Kikwete wanamlingania na muheshimiwa mwanzie yupi!? Daah! Teeeh! Teeeh! Teeeh! Hizo khabar za ile awamu ya awali aka "enzi za Mwalimu" hapo...
Back
Top Bottom