Siku ya kwanza ya mahojiano magazeti yalireport mawakili watatu wa Gwajima akiwepo Kibatala na Neema kama sijakosea, kwahiyo kibatala hajaibuka tu, alikuwepo!! Nilimsikia Gwajima akisema wanaurafiki wa karibu na Dr Slaa, hii inaweza kuwa ndio sababu ya kutumia mawakili wa Chadema, maana nasikia...
Sasa ndio nimeelewa aina ya mtu niliyekuwa nahangaika kujibishana nae!! Kumbe ni kwasababu ya chuki binafsi!! Mbaya sana hii, mtu humjui halafu unaropoka, ngoja waje saizi yako wakujibu kwa matusi
Kazi kweli kweli, Eti hati ya usajili wa kanisa na Namba ya usajili wa kanisa!! Mara zote namba huonekana kwenye hati ya usajili wao watachukuliaje kama hivi ni vitu viwili tofauti!!
Katika vyote hilo la kumi eti mpiga picha wa kanisa!!! Huyu naye wa nini!! Polisi wanavioja sana
Nilitaka niache nisikujibu lakini nimeona kukuacha na mentality uliyonayo si vyema!! Nimeshakuelezea Pengo sio RC hiyo kila mtu anaelewa hivyo na wala si kitu cha kulumbana hicho, wewe kama umekomaa uelewe hivyo ni sawa endelea na msimamo wako!!
Pili sina hakika na uovu unaouzungumzia hapa kama...
Kwanini uiogope serikali, serikali utaiogopa kama njia zako sio safi!! HATA MIMI NASEMA SIOGOPI SERIKALI WALA POLISI, maana njia zangu zimenyoka! Mtu anayeogopa serikali na polisi ni lazima tuwe na walakini na njia zake!! Magazeti yalireport ufafanuzi wa Askofu Ngajima alioutoa kwenye ibada yake...
Mr President unachanganya mambo, nimekuwa nikifuatilia comments hii imenikera na kuonyesha ulifvyo na akiri fupi, ndio fupi kufikiri!! Napata shaka sana na uwezo wako wa kufikiri, kwamba Askofu Pengo ndiye RC!!! Poor you rafiki!!
Ngoja niseme kama Ngajima ishia zako we dada, uwezo wako wa...
Nilimsikia siku alipofika kanisani kwa mara ya kwanza baada ya kuruhusiwa kutoka hospitali akiwatambulisha maaskofu na wachungaji wa makanisa yake ya mikoani na wilaya chache!! Inavyoonesha huyu jamaa amejipanga, ila watu hawajamjua vizuri!!
Imenishangaza kusikia eti jana waliwasili kanisani...
Sio kweli kwamba Ngwajima huhubiria akiwa kivulini, mimi nimeshawahi kuhudhuria hapo kanisani mara kadhaa, na mara zote amekuwa akitumia muda mrefu kuhubiria na kuzunguka kwa waumini kuliko muda anaotumia akiwa jukwaani. Hutumia muda mrefu sana akiwaombea watu humu juani, hata kukiwa na mvua...
Mimi nilisha achana na udaku wa magazeti, tangu walipoandika Gwajima katoroka nchini kauza mali zake! Jumapili yake niliwahi kawe ili nishuhudie reaction ya waumini!
Nilikuta wanaimba utafikiri paradiso imeshuka, baada ya muda kuna mchungaji alipanda kumkaribisha kwa mbwembwe sana, alivopanda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.