Recent content by Ground 00

  1. G

    JamiiForums Tanzania Kina dada, tabia tegemezi & vizinga ni ya aibu na fedheha!

    Jitegemee tu bidada. You are on your own in this world. Hawa watu wameumbwa kwaajili yetu tuwategemee wao. Na wala hakuna aibu kwenye hili...na sisi tumeumbwa kwaajili yao kuwafurahisha na kuwaliwaza. Inategemea ni mizinga gani unayoiongelea hapa. Mwanaume mwenye tatizo la kuhudumia abadili tu...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa aina hii wanakera, wanakwaza

    Hiyo issue ni simple sana. Anyway...pole kwa mtoa mada lakini hilo tatizo lipo ndani ya uwezo wake.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa aina hii wanakera, wanakwaza

    Mimi nikiambiwa kitu natii. Sasa hao wake zao sijui ni pasua kichwa au hawaambii..wanakuja kulalamika huku. Mwambie uone kama ataendelea then ndio uone kama ni tatizo au vipi.
  4. G

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa aina hii wanakera, wanakwaza

    Jamani mnashindwa kuwaambia? Mwanaume akisema mke wangu sipendi hiyo tabia yako unavyofanya..huwa tunaelewa. Sauti ya baba kwenye nyumba ina nguvu sana na si rahisi kukaidi.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Kila mtu aeleze Bangi Ilivyomsaidia

    Faida ni zaidi ya mia. I keep them to myself
  6. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake mnatusumbua mkiwa wajawazito?

    Ngoja nipite tu..nisije nikahara hapa...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Kila mtu aeleze Bangi Ilivyomsaidia

    Slim5 njoo huku ushuhudie
  8. G

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Kila mtu aeleze Bangi Ilivyomsaidia

    Naanza kukuogopa we mpare! Una nini lakini?!!
  9. G

    JamiiForums Tanzania Njoo tujadili namna ya kutengeneza zaidi ya mil 100 ndani ya mwaka mmoja

    Mmh..mkuu, unauza mmea?
  10. G

    JamiiForums Tanzania Tujuzane kuhusu wanawake wenye jinsia za kiume (shemale)

    Weeeeeeeeee hufai kabisa. Shindwa! Kwaheri!
  11. G

    JamiiForums Tanzania Tujuzane kuhusu wanawake wenye jinsia za kiume (shemale)

    Khaaaaaaa! Hakuna chumvi..kuna limao.
  12. G

    JamiiForums Tanzania Tujuzane kuhusu wanawake wenye jinsia za kiume (shemale)

    Bado... labda ukuje unisaidie kuuvunja.
  13. G

    JamiiForums Tanzania Tujuzane kuhusu wanawake wenye jinsia za kiume (shemale)

    Ha ha haaa....acha kunirubuni weye!
  14. G

    JamiiForums Tanzania Tujuzane kuhusu wanawake wenye jinsia za kiume (shemale)

    Ndo hivyo. Mi sijui. Nitupie kapicha nijionee
  15. G

    JamiiForums Tanzania Hataki kujishughulisha kabisa chumbani

    Halafu..umembikiri dada wa watu utamuoa? watu wanalalamika sana kuwa wanawake bikira hakuna tena wanaponda kabisa. Kumbe mnawabikiri nyie wenyewe. Leo umembikiri, kesho utampa mimba apate sifa nyingine ya kuwa single mother halafu uje uponde single mothers hapa.
Back
Top Bottom