Halafu..umembikiri dada wa watu utamuoa? watu wanalalamika sana kuwa wanawake bikira hakuna tena wanaponda kabisa. Kumbe mnawabikiri nyie wenyewe. Leo umembikiri, kesho utampa mimba apate sifa nyingine ya kuwa single mother halafu uje uponde single mothers hapa.