Recent content by GRILL

  1. G

    JamiiForums Tanzania Nimepewa likizo ya bila malipo kisa Corona

    Duh na hali hii inachanganya. Pole
  2. G

    JamiiForums Tanzania Petition: Wito wa kusitisha tozo/kodi ya laini ya simu kila mwezi kufuatia mabadiliko ya sheria

    Lipa kodi kwa maendeleo yako na taifa
  3. G

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Wabunge wapingana juu ya Hoja Binafsi ya Mhe. Mbatia, wengine wamfuata nje ya ukumbi!

    We watoto wako wanasoma nchi gani? Au mpaka 2015 ndio unategemea wataanza shule?
  4. G

    JamiiForums Tanzania Live Feeds: Kutoka mahakama Kuu ya Rufaa Kivukoni - Rufaa ya Lema, Dec 04, 2012

    Kupewa promo ni sehemu ya kesi au biashara
  5. G

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Bunge la Tanzania , kura zinaharibika

    Mleta mada tuambie sehemu ambapo palishawahi kupigwa kura zikakosekana zilizoharibika. Hata ungewachukua maprofesa ukawambia wapige kura za kuharibika lazima ziwepo. Fanya kwanza uchunguzi kidogo nini chanzo cha kuharibika kwa kura kabla ya kuanza kumwaga lawama.
  6. G

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Waziri Membe aiponda taarifa ya Wenje aihusisha na JamiiForums

    ZITO ameendelea kuthibitisha asivyojua vitu. Spika amepiga swali lake chini. Ni aibu kwa mmbunge kama Zito kutokuelewa kuwa wanachopitisha hapo bungeni ni makisio na sio kitu halali. Ni aibu kumuomba Waziri wa fedha ajikomit kuwa atawapa wizara ya mambo ya nje fedha yote waliomba. Kama mtu...
  7. G

    JamiiForums Tanzania MGOMO WA WAFANYAKAZI WOTE TAREHE 15.08.2012 Mgaya kufunguka

    Unajihami na nani? We nadhani nchi hii haikufai nenda somalia utaishi kwa raha mustarehe. Hakuna mwenye akili timamu anayeomba vurugu ndani ya nchi yake. Jaribu kutumia muda wako angalau wa nusu saa kuangalia taarifa za habari uone kinachoendelea nchi zenye vurugu
  8. G

    JamiiForums Tanzania Gazeti la MwanaHalisi lafungiwa kwa muda usiojulikana!

    Nakushauri kuwa makini usije na wewe kufungiwa lakini. Chezea serikali wewe!!
  9. G

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Eng. Muhando na mabosi wake: Siri yafichuka, anaeimaliza TANESCO NI JK

    Acha uchochezi. Hilo ombi lako sio la kizalendo nchi ikivurugwa hatuwezi kuanza upya. Fikiria vurugu na kuanza upya kama vina uhusiano
  10. G

    JamiiForums Tanzania Kwenu Dr. W. Slaa, Zitto Kabwe, John Mnyika na viongozi wa Chadema mliopo JF

    Wahusika nadhani wametoka humu nadhani wakirudi watatupa majibu ya hizo hoja kama kweli wanajua wanachotaka kulifanyia taifa hili. Tuwasubiri warudi na majibu
  11. G

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Walimu waiva; watoa notisi ya masaa 48

    Acha uchochezi waweza kushitakiwa kwa kuwa mchochezi
  12. G

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Walimu waiva; watoa notisi ya masaa 48

    Hivi huyo Mukoba si yule yule wa mwaka 2007 au?
  13. G

    JamiiForums Tanzania Video Clip: Alichokisema Mhe. Joshua Nassari huko Kigoma

    Upo serious kweli hujaliona tatizo liko wapi? Subiri muda wako ukifika utaliona
  14. G

    JamiiForums Tanzania CV ya Juma Nkamia

    Jitokezeni kwenye kutoa mawazo yenu kwenye tume ya katiba ili tuwe na kiwango cha elimu kwa wabunge wetu otherwise tutaendelea kutukana humu na haitasaidia kitu.
  15. G

    JamiiForums Tanzania CCM wamtaka Amaan Karume na wenzake kurejesha kadi

    Mengi yatajitokeza kipindi hiki tusubiri tu. Mungu ibariki Tanzania yetu na walaaniwe wabinafsi.
Back
Top Bottom