Maajabu ya Bunge la Tanzania , kura zinaharibika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maajabu ya Bunge la Tanzania , kura zinaharibika

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by trplmike, Aug 14, 2012.

 1. t

  trplmike JF-Expert Member

  #1
  Aug 14, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 60
  Jana nilishaangaa sana wakati Spika wa Bunge anasema kura 2 ziliharibika wakati wa kumchagua Mbunge wa Africa!
  Hivi kweli inaingia akilini mbunge ambae ndie mtunga na sheria anaharibu kura? Sasa kaka mbunge anaharibu kura moja tuu, je ataweza kweli kutunga na kusimamia miswaada mikubwa ya serikali?

  Ndio maana sikushangaa pale wabunge walipopitisha ule mswaada ya MAFAO bila wao hata kujua!! Ulipoanza kutumika ndio wanashaangaa waliupitisha tangu mwezi wa nne!

  Wabunge kwa hiyi mnatuaibisha, ningetoa somo kwa TUME YA UCHAGUZI kupeleka semina ya upigaji kura bungeni kwanza
   
 2. L

  Lubaluka JF-Expert Member

  #2
  Aug 14, 2012
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 496
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mkuu usishangae hilo... TZ ndio nchi pekee inayofaulisha wanafunzi wasiojua kusoma na kuandika.....!!!!! So kwa mbunge wa TZ kuharibu kura moja anayopiga ni kama urithi vile.... duuu aibu!!!!
   
 3. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #3
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Kura hizo zitakuwa ni za
  1. Professor Maji Marefu
  2. Jah People

  Watakuwa waliandika NDIYOOOO Badala ya jina la mgombea! Matatizo ya kukaririshwa na CCM
   
 4. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #4
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Sio hivyyo tu...kuna wengine wanasoma PHD huku kumbe hawajui kuandika hata nsha ya ukurasa mmoja, mfano mzuri ni jamaa mmoja anyejiita rais wa TAJA! Kwa hiyo usitegemee madudu kutoka kwa Maji Marefu peke yake, bali hata kwa wenye PHD uchwara!
   
 5. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #5
  Aug 14, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  ni bunge pekee linakaa na wabunge kama kina Lusinde
   
 6. M

  Masayi77 Member

  #6
  Aug 14, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  inashangaza mbunge hajui namna alama ya tiki kwa mtu anayepaswa kukubalika,walioharibu kura wajitaje wenyewe
   
 7. peri

  peri JF-Expert Member

  #7
  Aug 14, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  kwa bunge linalotuhumiwa kwa ulevi, bangi, rushwa wala hakuna cha ajabu.
  hii ni aibu kwa wabunge wote bila kujali chama
  Wanapaswa wabadilike
   
 8. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #8
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kichwa cha habari kiwe jumba la mkusanyiko wa wendawazimu wengi na werevu wachache na maajabu yake.
   
 9. k

  kimeloki JF-Expert Member

  #9
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 1,928
  Likes Received: 951
  Trophy Points: 280
  wamezoezea kuchapa usingizi wakizinduka wanaitikia ndiyoooooooooooooooooooo sasa watakuwa walila walipostuka wakapiga tik kote na kuweka maksi.
   
 10. G

  GRILL Senior Member

  #10
  Aug 14, 2012
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mleta mada tuambie sehemu ambapo palishawahi kupigwa kura zikakosekana zilizoharibika. Hata ungewachukua maprofesa ukawambia wapige kura za kuharibika lazima ziwepo. Fanya kwanza uchunguzi kidogo nini chanzo cha kuharibika kwa kura kabla ya kuanza kumwaga lawama.
   
 11. a

  annalolo JF-Expert Member

  #11
  Aug 14, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 310
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  walioharibu watakuwa wassira na yule mbunge anayeuza bangi
   
 12. andishile

  andishile JF-Expert Member

  #12
  Aug 15, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,430
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  wale wanaotumia sigara kubwa na bwimbwi ndugu,ndo matokeo yake hayo!
   
 13. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #13
  Aug 15, 2012
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,668
  Likes Received: 21,901
  Trophy Points: 280
  Kuwa wazi mkuu, hakuna asiyejua kuwa ni wabunge wa CCM pekee ndio wa ovyoovyo na wanaoweza kufanya mambo ya ovyo.
   
 14. peri

  peri JF-Expert Member

  #14
  Aug 15, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Unakosea sana mkuu, binadamu yoyote yule anaweza kukosea, awe ccm, cdm, cuf, tlp etc
  Wabunge wa upinzani sio malaika, wanakosea kama wengine.
  Hakuna alokamilika.
   
 15. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #15
  Aug 15, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Bunge la wavuta bangi litatekelezaje sheria za kutokomeza uvutaji bangi?
   
 16. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #16
  Aug 15, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  hivi ni kina nani hao wavuta bangi? nilimuona dogo mmoja wa chuo kikuu cha dar es salaam akisema kuwa ana ushahidi wa picha zinazoonyesha waheshimiwa wakipuliza sigara yetu ya asili wala isiyotiwa madawa na makemikali.alisema anasubiri polisi tu wakianza upelelezi apeleke picha zake ili wachukuliwe hatua
   
Loading...