Recent content by gregk

  1. gregk

    JamiiForums Tanzania Magufuli awafumba mdomo tanesco kuhusu mgawo

    Jamani mi nilifikiri ni huku Nzega tu kumbe ni sehemu kubwa namna hii
  2. gregk

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mawaziri kusheheni wabunge wa kuteuliwa na Rais

    Kigwangala hafai kwanza alikwepa kodi aliagiza vifaa akasingizia vya chuo halafu akaviuza kwa watu pia alileta mabasi akisema ya wanafunzi badala yake ameyapangia njia
  3. gregk

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aagiza Taasisi za Umma zisizo na tija kupunguza wafanyakazi

    Rais wangu Jpm njoo na Halmashauri ya Nzega ujionee mwenyewe upuuzi uliopo
  4. gregk

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi na ajira ya Mkurugenzi Mkuu TANESCO

    Huyu mramba wanamuangusha hawa wa chini hasa mameneja wa wilayani
  5. gregk

    JamiiForums Tanzania CHADEMA watua ICJ, kupeleka mashitaka ya uchaguzi Mkuu

    Wanafiki wakubwa mmegawana hela ya babu halafu mmemtelekeza
  6. gregk

    JamiiForums Tanzania Dr. Eve Hawa Sinare atangaza Kuhama CCM

    Huyu hana kitu kama waliomtangulia
  7. gregk

    JamiiForums Tanzania Lowassa aionya Tume ya Uchaguzi

    Lowasa acha kujifyatua unajua unashindwa kuwa muwazi kwa mafisadi wenzio
  8. gregk

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Kampeni za CCM Kibanda Maiti - Zanzibar

    Acha kudanganya watu hivi mtu mwenye fikra sahihi kweli anaweza kushabikia ukawa kweli na kura akawapa kwa agenda ipi mliyonayo
  9. gregk

    JamiiForums Tanzania Mpasuko mkubwa mwingine waja UKAWA/ CHADEMA

    Lowasa amesha nunua chama kwa bei poa kabisa hata waondoke wote
  10. gregk

    JamiiForums Tanzania ITV, hii ya leo ni taarifa ya habari au kampeni ya UKAWA?

    Kwani huelewi Mengi mtu wa kaskazini
  11. gregk

    JamiiForums Tanzania Mama Magufuli, nini kimekusibu?

    Magufuli ni mzima na mwenye afya azunguke naye kwa ajili gani halafu huyu mama ana kazi sasa Edo ni mgonjwa lazima mkewe amuangalie halafu huyo mama hana kazi
  12. gregk

    JamiiForums Tanzania Kuelekea uchaguzi mkuu: Impact ya Lowassa katika media

    Acha kudanganya watu hakuna wa kumlinganisha na Magufuli
  13. gregk

    JamiiForums Tanzania Slaa soma hapa huko kote unasumbuka bure!!

    Wewe ni muongo Magufuli yuko juu sana tena usipime Edo yuko chini tena umaarufu wake unazidi kushuka pamoja na CDM yake iliyogeuka kuwa chama kifisadi na ukanda
  14. gregk

    JamiiForums Tanzania Maoni ya Ananilea Nkya kuhusu hotuba ya Dr. Slaa

    Huyu mama kumbe na yy ni mmkanda nyie watu wa kaskaziniache
Back
Top Bottom