Recent content by Greenphobic man

  1. G

    JamiiForums Tanzania wakulima wa sua kazi ni kwako

    Sawa ila usijiamin saana kwan hata wajanjajanja kama ww nao wanadisco.
  2. G

    JamiiForums Tanzania Madai ya Dkt. Slaa kuhusu wafungwa wa kigeni kuletwa na kufanya kazi Tanzania

    Mleta uzi hapo umechakachua hizo quotations kuna baadhi ya vitu umeviacha ambavyo vingeleta maana nzuri tu. Hivyo Dr. hakuwa maana mbaya bali wewe ndo umemnukuu vibaya tena kwa makusudi ili lengo lako litimie
  3. G

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa mziki Tanzania kwa nini lakini? Tazama picha ya nyumba ya babake 20%

    Jaman nahisi ndo alikuwa anajipanga pengine kama sio msiba mngeshtukia tu mazingira yamebalika.
  4. G

    JamiiForums Tanzania Wenyewe mpo?

    Wanasema ukifika mahala tafuta kwanza wenyeji, ndugu zangu naomba kujumuika nanyi.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Nyumba kwa nyumba,mtu na mtu,kijiji na kijiji kata na kata,kijiwe na kijiwe mpaka kieleweke

    Ulitaka aanze na marekani kama mwigulu? nyumban kwanza
  6. G

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatoa Tamko kulaani matendo ya Balozi wa China

    Ama kwel huyu nepi ndo kabisaa haelewi kwamba anaongea na watanzania walioenda shule na waelewa. kama ni kuwekeza kwenye pamba kwanin afanye hiyo michakato wakati wa ziara ya kuimarisha chama?
  7. G

    JamiiForums Tanzania Spika Anna Makinda:tunaelekea katika machafuko

    Yeye ndo chanzo, pia hapo si mahali pake kuzungumzia hilo.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Bad News: Diwani wa CHADEMA kata ya Kiwira akamatwa na Polisi

    Hizi ni mbinu za magamba 2 hakuna lolote ila ukwel utabak kesi za kutengeneza tumezoea
  9. G

    JamiiForums Tanzania Picha: Mwigulu Nchemba aitesa CHADEMA Iramba, mikutano yao yadoda haijawahi tokea

    Hongera kwa kuleta post ila endelea kuitetea ili umshawishi boss wako kukutoa hyo BUKU 7
  10. G

    JamiiForums Tanzania Mnara wa Mwangosi wazinduliwa ,mdogo wa marehemu awakemea wanaoituhumu CHADEMA

    Naona kejel zimezid ila mjue kuwa mambo yanabadilika nyie polccm pamoja na wanaowatuma itafikia siku mtafute pa kukimbilia mkose.
  11. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rwanda wametuzidi katika hili?

    Uchumi utakuwaje wakat % kubwa ya fungu la bajeti linatengwa kwa matumiz binafsi na sio kwa maendeleo? Pia hata linalotengwa kwa maendeleo huwa no return hapo uchumi utakuwa kwel
  12. G

    JamiiForums Tanzania Mabaraza ya Katiba: Dr. Slaa ndani ya Ukonga, Uwanja wa Kampala ulioyopo Gongolamboto

    Endelea kutia update huku tunafollow
Back
Top Bottom