Katika kile kinachoonekana kuwa hofu ya kutokea machafuko ktk nchi ya tanzania, spika wa bunge la Tanzania Anna Makinda leo ktk salamu zake za Serikali kwa waombolezaji ktk mazishi ya mmoja wa watumishi wa muda mrefu katk serikali hii marehemu Mzee Nyega huko Mbezi Mshikamano(kwa Yusuf) ambae alikuwa muumini mwamifu wa kanisa la wa-adventista wasabato Magomeni ameomba watanzania waiombee Nchi hii kwani viashiria vya vurugu ktk mchakato wa katiba vikiwa dhahiri.Amewalaumu wabunge wake kuwa kiini cha tatizo.